Jaribu, kutathmini IQ yako

Jaribu, kutathmini IQ yako

Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.

Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.

Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.

Jaribu, kutathmini IQ yako.​

Nafikiri kwa post yako hii, inaonesha IQ yako ni ya kupeleka kwa mwamposa akaiweke sawasawa....
 
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.

Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.

Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.

Jaribu, kutathmini IQ yako.​
Einstein na IQ ya 180
Newton na IQ ya 200
Enrico Femi
Michael Faraday
Henri Rutherford
Linus Pauling
etc walijiajiri?
 
Back
Top Bottom