Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,033
- 61,936
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.
Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.
Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.
Jaribu, kutathmini IQ yako.
Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.
Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.
Jaribu, kutathmini IQ yako.