mwenzio hoi.... hivyo vinguo vyako vilaini vinanipa tabu tupu.... teh
ha haaa, hivyo vijiguo ni mtama tu.......Waoh
Binafsi,Napenda kulala na kijinguo chepesi, kifupi na kinachoupa mwili nafasi.
Na ndani ya kijinguo hicho sipendi kuvaa chochote...ila pia kulala utupu si tatizo kwani unakua ndani ya shuka, blanketi au net....ni burudani sana
hahahahahahaha...hili neno mamaniwekeeni na za mablack
Kigauni cha kimitego bila chupi ndo mpango mzima
uchi kabisa hapana mi siwezi kwa kweli
cha ajabu huko mitandaoni wanatuonea sana mablack, sijaona hata black mmoja na hizo nguo, sijui ndo kusemaje?hahahahahahaha...hili neno mama
Mablack wanamvuto sana ndo mana hahaaacha ajabu huko mitandaoni wanatuonea sana mablack, sijaona hata black mmoja na hizo nguo, sijui ndo kusemaje?
umeona eeeh!Mablack wanamvuto sana ndo mana hahaaa
Ruksa kuchangia Kaizer......
Ruksa kuchangia Kaizer......
kwani wewe unapendaje? maana unajua nyie ndo walengwa haswaaaaa..... na tunavyojuaga kuwatii, ukisema hii sitaki tunaacha mara moja.
cc. Dark City
hii haimaanishi kwamba una-deserve ile salamu......Nyie endeleeni kutegana, wenzenu tulishajistafia....
Ila hizo ngu siyo za kumvalia mtu aliyetoka jela....otherwise utakuwa unajitafutia matatizo ya after 10.30pm...lol!!
Babu DC!!
ha haaa, hakikisha yale ma-wrap yapo mlangoni, unatoka nalo huku unavaaHuku uswazi kwetu wakati wa kulala inabidi uvae minguo haswa...maana haipiti usiku hujafukuza kibaka!!
Umeona eeha haaa, hivyo vijiguo ni mtama tu.......
ila hata ukiwa mwenyewe pia unajisikia vizuri....
ndo umetoka zako kuoga, hujajipaka mafuta wala nini, unajitupia hako kagauni na kujifunika....... usingizi mtamuuuuuuu
ila kiukweli nusu-u.chi inapendeza zaidi kuliko utupu au full minguo!!!!!
hii haimaanishi kwamba una-deserve ile salamu......
hata tuliostaafu tunatakiwa tuendelee kuwatega, otherwise tutasikia mnategwa huko mtaani.
si umeona mzee Mengi ana new born babies na katoto kadogoooooooo, unafikiri alifwata nini huko? si hiyo mitego?
aliyetoka jela ndo mzuri kutegwa kihivyo, ila sasa kuna atiati wagome kupata misosi maana wataona wanachelewa kutegwa, lol!
sana yaaniUmeona ee
Rahaje.........