Jaribu hii

Jaribu hii

niwekeeni na za mablack


za kiblack ni hiziiiiii........kwanz aunachoose nyepesinyepesi zileeeeee afu na maneno ndo kama hayooooooooooo.......unajitumiapo kwenye mwili wako ambao unahakikisha ni mwororo..........
il_340x270.382432835_6pnt.jpg
 
sii ndio maana wanawake wengi wanatembea nusu uchi mitaani siku hizi...genye lazima ziwe juu juu

sasa huo ni zaidi ya ulimbukeni!!!! kutembea hivyo ndio kubaya unless uwe unauza!!!!
hii tunaongelea kama una wako home kwa kudead na kufukiana tani saba za udongo!!!
 
ah kumbe mwanipigiaga makele bure hapa wakati wenyewe mwapenda migegedo kila leo haya bana ngoja nipate mke sasa nitulie. love connect here i come
migegedo twipenda kwa watu special.... siyo kama wee kila apitaye, lol!
 
za kiblack ni hiziiiiii........kwanz aunachoose nyepesinyepesi zileeeeee afu na maneno ndo kama hayooooooooooo.......unajitumiapo kwenye mwili wako ambao unahakikisha ni mwororo..........
il_340x270.382432835_6pnt.jpg
umeona eeeh!
zamani zilikuwaga zile za India.......
zilikuwa zinafaa sana
 
For as long as niko jiji hili lenye joto hasira....hii ndo nguo ya mume kuvaa:

images



..and me lady:

images
...but without the pants!!!



Oh life, if only wishes were horses! I would be married and Arsenal would still be celebrating for a cup won....if only!!!!:car:
 
Kongosho hapo umesema
na huyo shosti hapo juu mbona kakaa kama yuko dukani vile au ni macho yangu.

We acha tu
Na haya matumbo yalo magotini afu utoke kitomvu nje ni kuchekesha




Haswaa uwe umeupata ule orijino utapenda

Ila kuvaa, labda
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, tukinuna tunavaa mapajama......
full trouser na sweta
......
ila ukivaa hivyo vigauni na umenuna si unajisumbua?

ha ha ha ndo nitanunua hivo vigauni....
yani nikinuna ni mapajama kwakweli na koti juu utadhani naenda kupanda pikipiki kumbe muda wa kulala!!!!!!!
 
Kuna siku mtu alileta mada ya unalalaje? akaweka picha nyingi watu waseme anavaa nini wanapolala.
Kila mtu alikuwa na lake la kusema, ila niligundua watu wengi hasa walio ndoani walisema wanalala bila nguo.
Pia nikisomaga mada za watu ambao wanashukuru wameoa/olewa, baadhi ya watu wanawakaribisha kwenye chama cha kulala bila nguo.......
Sijui sababu zinazofanya wanandoa wengi wanalala bila nguo, labda kwa vile tupo wengi humu tunaweza kusaidiana kuambiana faida za kufanya hivyo.
Binafsi napenda kulala na nguo, naona kuna mvuto wake kufanya hivyo. Kwanza ile process ya kuvuana nguo mnapotaka kutimiza wajibu wenu naona ni romantic.
Pia watu wengi wanapendeza wakivaa nguo...... na kama nguo ni sexy basi unavutia zaidi.
hapa kitu kikubwa cha kuangalia ni nguo ambayo unaivaa ule muda wa kupanda kwa kitanda.
kuna miili ambayo inapendeza sana na kanga, unaweza ukavaa kanga moja (siyo kitenge) ukaingia zako kwa kitanda.
Kuna miili ambayo ukivaa kanga ni kama umevalishwa habit la masista, lol! hawa ni vizuri sana wakatafuta vigauni vizuri, viduchu kwa ajili ya kupanda navyo kwa kitanda.
Kwa wale wa vigauni, chagua za material ambayo inavutia na ni laini ili mtu asione kero anapokugusa mnapokuwa kwenye maongezi. pia size ya kigauni ina-matter.... chagua kigauni ambacho ukikivaa kinamvutia mtu na ambacho ni rahisi kukivua (kilichokaa kimitego). Rangi ya kigauni pia ina nafasi yake.....jua rangi zinazomvutia sana huyo mwenza.
hapa ni baadhi ya picha za vinguo vya kulalia ambavyo navipenda.
Sexy-Bowknot-Flower-Night-Dress-Pink-O10111202_5053068_0.jpg

images

images

images

images

images

images

images

images

Huu ni mtazamo wangu mimi, nakaribisha maoni ya wengine pia.
Muwe na weekend njema sana.
FP hapa naona za wembamba tu, au wanene wanaruhusiwa kuvaa kaptula ya jeans na ki-top?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom