Naswali kwa waislam🤪

Naswali kwa waislam🤪

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,364
Reaction score
10,247
Sasa naswali ....
Hivi hawa waislam wetu wao wanaongeza wake wengi ila ukiangalia wahindi wao ni mke mmoja tu na niwaislam na ndio maana wanafanikiwa .
ila sasa hawa watanzania yaani mtu yupo chumba kimoja .
Anawake 3 na watoto kumi .

Hana hela ya matumizi yanayoeleweka . Na bado anaongeza mke kila mwaka .
Nakumpangishia chumba kimoja sio hata nyumba ya maana hapana .

Hii ni mbaya sana haya sio maisha ......

Faida ya kuoa mke mmoja ndio dili maana utapata hata dhawabu kwa mwenyenzi Mungu.

Unaoa halafu hunamatunzo yanayoeleweka watoto hawana nguo, afya wala mtiririko mzuri wakielimu.
Serikali ifanye uchunguzi wa hili jambo wakionekana hawa watu matunzo zeroo waachishwe kuendelea na wake wengine ili hao wamama wapate sehemu nafuu.

TUTOKOMEZEE NDOA ZAIDI YA MOJA ZA KIMASKINI TANZANIA
 
Hili ni swali ama maoni, mtazamo au ushauri?

Kumbuka kuna huyo muowaji, huyo hajioi, alafu kuna muolewaji huyu pa halazimishwi, ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili, watatu, wanne mpaka wa tano, ambao watakuwa wakitegemeana, wakiwindana, wakishindana, wakisaidizana na hata kuuana..all in all ndoa ni mipango ya wanaadamu. Wanaoana, wanaishi kwa kadiri wanavyoweza, unaweza kuwa na mke mmoja na ukawa mteja mzuri wa makahaba.
 
Sasa naswali ....
Hivi hawa waislam wetu wao wanaongeza wake wengi ila ukiangalia wahindi wao ni mke mmoja tu na niwaislam na ndio maana wanafanikiwa .
ila sasa hawa watanzania yaani mtu yupo chumba kimoja .
Anawake 3 na watoto kumi .

Hana hela ya matumizi yanayoeleweka . Na bado anaongeza mke kila mwaka .
Nakumpangishia chumba kimoja sio hata nyumba ya maana hapana .

Hii ni mbaya sana haya sio maisha ......

Faida ya kuoa mke mmoja ndio dili maana utapata hata dhawabu kwa mwenyenzi Mungu.

Unaoa halafu hunamatunzo yanayoeleweka watoto hawana nguo, afya wala mtiririko mzuri wakielimu.
Serikali ifanye uchunguzi wa hili jambo wakionekana hawa watu matunzo zeroo waachishwe kuendelea na wake wengine ili hao wamama wapate sehemu nafuu.

TUTOKOMEZEE NDOA ZAIDI YA MOJA ZA KIMASKINI TANZANIA
ACha ukafiri sasa mbona unaumia na din sio yako
 
Ngono na Pombe ni moja ya thawabu za Allah subhana wa Ta'ala kwa watakaoingia pepo yake (Firdaus)!
 
Zamani hakukuwa nq hela kulikuwa na mbadilishano tu wa bidhaa, barter trade, mihogo kwa viazi au chumvi kwa karanga nk. Soma soma kidogo uongeze maarifa
Wanahela hadi madini unadhani ni rahisi vitu ulivyovitaja kupata kwa kipindi matajiri ndio walikuwa navyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom