Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #61
la muhimu ni kujipatia pattern tu, mambo ya bei gani huwa hayahusiki kiviileeee....kuna nguo za gharama kubwa na nguo zilizo kwenye fashion!!!
mfano mie nna tufimbo twa miguu tumepindapinda afu nikavae hizi skintyte jamani za siku hizi..........si nakuw akituko mbele ya jamii....................
ukijipatia mikato, hata iwe kama gunia utapendeza tuuu!!!
kuna watu huwa wanatumia nguvu nyingi sana kujielezea nguo aliyovaa kainunua wapi na bei gani, wakati ukiiangalia hapo mwilini utafikiri kaiokota jalalani, lol!....
ha haaa, fimbo zako zitafutie suruali pana au magauni marefu hadi chini, lol!

