Jaribu hii

Jaribu hii

Hahaha..madamu umenipa ruksa...mimi ni muumini wa nyama kwa nyama...kama alivosema Nivea....sijawahi kumwona na my wife wangu na nite dress...sana sana kamtandion kepesiiii na hakafiki kitandani..over....
ha haaa, sawa tu.....
ila siku mletee zawadi ya hako kakitu, hata kama atatupia siku moja moja haina shida, utaniambia tofauti ya siku anayotupia hako na siku anavyotokea bila hiyo...... just for a change
 
Siwaoni watu weusi humu lol! ngoja niongezee











 
mpaka utegwe winchi bovu nini mpk lifungwe kamba kam mzigo uko poa kila ukiukumbuka 2 chuma hicho ni mama leta
 
mm napenda sana mtu anayelala nusu uchi bwana
kinachokufanya upende ni nini?
labda utatusaidia kumwelezea masanzu tunamaanisha nini.....
siyo kwamba tunategana sababu winchi hazifanyi kazi, ni kama kuweka nazi kwenye maharage tu, ambapo hata bila kuwekwa nazi yanalika na ni matamu tu
 
Last edited by a moderator:
Kulaka uchi hamuogopi? Ustawi utabebwa na panya huo.... Vinight dress vya mitego ndo mpango mzima
 
Hapana banaaa Kipipi!!! Si unajua lazima kuwe na varieties katika mambo haya ndio inapendeza vinginevyo kivazi kile kile kulalia siku nenda siku rudi mtu ataboreka. Kama mtaruhusu njembas ziwe na choice ya kivazi basi hizo nilizoweka hapo lazima zitachaguliwa na njemba nyingi 🙂🙂 halafu si mbaya siku nyingine mlimbwende akazuka na Birthday suit tu....raha sana.

Duh . . . !!!
BAK umeua bendi asee!!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, sawa tu.....
ila siku mletee zawadi ya hako kakitu, hata kama atatupia siku moja moja haina shida, utaniambia tofauti ya siku anayotupia hako na siku anavyotokea bila hiyo...... just for a change

Sawa rafiki nijilie na kimoja basi ukirudi....lol...si mlikani site unaenda leo
 
Back
Top Bottom