Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #101
siendelea tena.... siyo sababu nimeshindwa, ila sitaki kukupunguzia heshma uliyojiwekea kwa wajukuu hapa..... maana wengi wakiona nimeku-beat nao wataanzisha mpambano.......Nazidi kukushangaa jinsi unavyodai visivyo halali yako..........
Ukiendelea sasa hapa itabidi niweka nakala ya passport ya mtu ili watu wajue kwamba huna chako hapa...
Babu DC!!
si umeona Kongosho anavyofwatilia mpambano kwa karibu?
Last edited by a moderator: