Jaq Mrema: Ujumbe mzito alioaacha twitter kabla ya kifo chake

Kuna mwenye ushahidi huyo dada amefariki?
Ushahidi wanao waume zako Meko na Bashite!
Ndio_mwaliko_huu__ud83eudd23ud83eudd23_https___t.co_Hb2mU17czZ.jpeg
 
Dalili moja Wapo ya corona ambayo ni hatari zaidi ni kifua kubana sana pamoja na mapafu kuvimba hivyo hewa hupita kwa shida kwenda kwenye mapafu.
 
Sasa kama alikuwa anajisikia hivyo akiwa bado mzima kwa nini hakwenda hospitali wamkarantine angalau asaidiwe, hapo najiuliza sana. RIP dada
 
Back
Top Bottom