Jaq Mrema: Ujumbe mzito alioaacha twitter kabla ya kifo chake

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Binafsi simfahamu huyu Dada, ila katika pita pita zangu Twitter nikakutana na post hii, kwakweli inaumiza.

Poleni sana Familia, ndugu na jama husika wa Jaq Mrema.

IMG_20200528_104226.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom