Taarifa ni ya kweli amefariki akiwa mkoa wa kagera, alikuwa hakimuCha msingi hapa kwanza tungepata dondoo toka kwa wanaomfahamu
Inauma sana ikiwa ni taarifa ya Kweli
Taarifa ni ya kweli amefariki akiwa mkoa wa kagera, alikuwa hakimuCha msingi hapa kwanza tungepata dondoo toka kwa wanaomfahamu
Inauma sana ikiwa ni taarifa ya Kweli
Taarifa ni ya kweli nimesikia radio free afrika wametangaza wakisoma kwenye magazeti, alikuwa ni hakimu mkoa wa kageraKuna mwenye ushahidi huyo dada amefariki?
Taarifa ni ya kweli nimesikia radio free afrika wametangaza wakisoma kwenye magazeti, alikuwa ni hakimu mkoa wa kagera
kwa hiyo maradhi yaliyopelekea umauti wake, ni hewa haitoshi mkuu?
Kuna mwenye ushahidi huyo dada amefariki?
Ninamfahamu.
Amefariki.
Kwanini hakutumia dawa?Ninamfahamu.
Amefariki.
Pamekuwa na tabia ya kuwatengenezea jumbe marehemu ionekane wamefariki kwa corona
Huu ni ujumbe wa pili sasa nauona
Yote hii baada ya rais kuwapiga knockout sasa mnakuja na hii ionekane rais ni mwongo corona bado ipo
Watu wa namna hii tunawaita wapumbavu
Naishi mazingira ya kawaida, sioni hiyo corona mnayohubiri, hao watu wanakufa huko kwenu tu?Tuna kazi sana hii nchi kwa sasa, vijana tushakuwa brainwashed na siasa! Hatuwezi tena kusimama kwenye ukweli na uwazi
WewePamekuwa na tabia ya kuwatengenezea jumbe marehemu ionekane wamefariki kwa corona
Huu ni ujumbe wa pili sasa nauona
Yote hii baada ya rais kuwapiga knockout sasa mnakuja na hii ionekane rais ni mwongo corona bado ipo
Watu wa namna hii tunawaita wapumbavu
Kifo kama hiki ni uzembe wa Taifa na watu waliomzunguka
Sasa kama alikuwa anajisikia hivyo akiwa bado mzima kwa nini hakwenda hospitali wamkarantine angalau asaidiwe, hapo najiuliza sana. RIP dada
Itakuwa Athima au TB. Km kaweza mpaka kuandika!? Magonjwa hyo ndo yanatabia hzo! Mungu atamsaidia Na atapona.