Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Paskali
Leo ni siku ya Wanawake Duniani, Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maadhimisho ya siku yao hii ya wanawake duniani wakiwemo wanawake hawa na Mwanamke huyu!.
Happy Women's Day all the beautiful ladies and the lovely ladies out there, na kwenye wanawake na siasa, nina Salaam zao Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?.
Paskali
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia!.
P
 
Paskali ni lini utaamini kwamba matumizi ya akili hayapaswi kuwa na ukomo?

Huku kujikomba ni kujizawadia fedheha kila uchao.
 
Tayari amejisimamia kuhakikisha anabeba kijiti tena
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
Paskali
Siku yenyewe ya kukuzawadia ndio kesho Jumatano October 29.

Mapema tuu asubuhi

P.
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, and think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then just dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chances!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa chochote mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
HBD Rais Samia Suluhu Hassan.

P
 
Kaka mkubwa.
Nikianzia heading. Unatabainisha kuwa kura (zinazoibiwa) ni zawadi kwa anayepigiwa. Honeatly ni lini tulimfuata na kumuomba agombee?

No Reforms
No Election
Mkuu Msanii, hii post ndio nimeiona Leo, hakuna kura zinazoibiwa!, ili mtu uibe, ni kuchukua kitu kisicho chako kwa kujificha au kujiiba, lakini kuchukua kitu chako mwenyewe, mchana kweupe, tena kwenye kadamnasi ya watu, sio kuiba, ni kuchukua!.

Nchi ya Tanzania ni yetu, Watanzania ni watu wetu, kura zao ni kura zetu, chaguzi zetu ni igizo tuu la uchaguzi, unachukua...
unaweka....
malizia....
hakuna wizi wowote!.
P
 
Mkuu Msanii, hii post ndio nimeiona Leo, hakuna kura zinazoibiwa!, ili itu utbe, ni kuchukua kitu kisicho chato kwa kujificha au kujiiba, lakini kuchukua kitu chato mwenyewe, achana kweupe, tena kwenye kadamnasi ya watu, sio quiba, ni kuchukua!.

Nchi ya Tanzania ni yetu, Watanzania ni wetu, kura zao ni zetu, chaguzi zetu ni unachukua,,, unaweka....
malizia....
hakuna wizi wowote!.
P
Hahahahah
Paskali kaka, sina la kusema.

Endelea kumbariki huyo nusu jini mnywa damu za Watanzania
 
Hili ni chaguo la Mungu, kumuita jini sio jina la heshima!.

Naomba kufahamu kosa la Watanzania waliouawa kwa risasi Oktoba 29+ 2025.

Kwa nini dola iliamua kuwaua.

Huyo mpuuzi unqyetutaka tumheshimu, leta sababu za msingi za kumheshimu muuaji. Usituone maamuma kwamba eti umeandika post kuhusu mauaji ya Mo29 wakati unatujazìa mathread ya pambio za kumsifu na kumsujudu Chura Kiziwi mla watu

Au ndiyo ile methali ya ndege wanaofanana huruka pamoja?
 
Back
Top Bottom