Japo mie UKAWA, CCM nimewakubali

Japo mie UKAWA, CCM nimewakubali

Kuna Bibi Mzee alibakwa na kijana ila tu Kijana alivunja mlango kabla ili aingie ndani kumbaka Bibi.

Bibi alimwambia hakimu aliyekuwa anasimamia hiyo kesi ya Ubakaji "Ninamsamehe kosa lake, ila tu atengeze Mlango aliounja nyumbani kwangu na achukue kabisa funguo ya akiba"

Labda sisi Watanzania tumeshanogewa na Ubakaji wa CCM? Sisi Wanyamwezi wa Tabora yaani hadi tunakata mauno kama wachezaji Baikoko kutoka Tanga. Ni raha kama unakula Chenza, mniam, mniam, Kubakwa na CCM raha.

Hadi leo hii mie UKAWA, we nisome vizuri, yaani ni kwamba mwizi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani mwako hajatumia Silaha ,,,,kabeba kilaini...ila bado siku inayofuata unaacha mlango wazi. Ila aliyekwibia ni mwizi simtetei ila kaiba bila kukuua. Sasa ufanyeje ili asikuibie tena ndo ujinga huo wa kuacha mlango wazi na kuwapigia kura ccm......nimetumia fasihi usiponielewa basi.
 
Nakubali mie UKAWA, lakini ni lazima tukubali kitendo cha nchi hii kukabidhiana madaraka kwa njia ya amani namna hii ni suala la kujivunia.

Hata kama wanaokabidhiana ni wezi wanakabidhiana kuendelea kutuibia kwa njia ya amani. Ujinga unabaki kwetu sisi wananchi. namkumbuka mbunge wangu wa Shinyanga wa zamani Leonard Derefa(RIP) akiwa madarakani, alisema achaguliwe ili nayeye AHONDOMOLE

Kuhondomola ni kuendelea kula uhondo. Ukiangalia nchi jirani za Uganda, Rwanda, Burundi na Kenya hata kule Congo DRC hawajaweza kukabidhiana namna hii. Hongera CCM kwa hilo. Si vyema kukalili visasi na chuki na hasira. Nasema hivi japo mnakabidhiana vijiti kwa amani na kuendelea kutuibia, mnajua kula na kipofu.

Hongereni kwa kuendelea kutu "KWATUA" kama JK alivyosema wajinga ni sisi ila manatukwatua kisha mnatupa ICE.

Hongereni. Hii nimeandika mwenyewe wala siajaibiwa Password.!!!!!

Ta Muganyizi.

Eti japo wewe UKAWA mtaacha lini unafiki? Na hii yote ni kwa sababu ya kuangalia pua badala ya kuangalia mbele.
 
Eti japo wewe UKAWA mtaacha lini unafiki? Na hii yote ni kwa sababu ya kuangalia pua badala ya kuangalia mbele.

Ujinga unabaki kwetu sisi wananchi. Hata hili neno hujaliona aiseee............mzee wa Afield. we soma bila jazba utanielewa baadae
 
Asante kiongozi mie mmbea lakini wezi wetu wamekabidhiana silaha za kutuibia bila kuuana. Soma bila hasira utaelewa tu.
Inaelekea umeshakuwa sadist...km unafahamuh hayo yote kwa kwanini unafanyai kazi huo ushenzi kwa gia ya kusurrender?
 
Back
Top Bottom