Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Hii ni habari njema kwa urusi
Kivipi mkuu. Huyu mzee hakua kitisho Sana kwa Urusi coz Ni yeye aliyejaribu Mara kadhaa kukutana na Putin kuxungumzia swala la wao Japan kurudishiwa occupied Sakhalin Island kutoka kwa Urusi.
Leo hakua kitisho Tena
 
Kivipi mkuu. Huyu mzee hakua kitisho Sana kwa Urusi coz Ni yeye aliyejaribu Mara kadhaa kukutana na Putin kuxungumzia swala la wao Japan kurudishiwa occupied Sakhalin Island kutoka kwa Urusi.
Leo hakua kitisho Tena
Yule mwanajeshi mstaafu aliyempiga risasi amesema amechoka na wanasiasa.

Kwa kweli huyu ex-PM hakuwa na shida na watu ni hiyo bahati yake mbaya tu.
 
Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.
Nadhani saadat tofauti na huyu
Maana huyu alikua mstaafu hlaf kapigwa tu namtu
Ila saadat kama sijakosea alikua bado raia pia kama sijakosea alitunguliwa na mlinzi wake
Ila saadat alipewa alichostahili UMBWA mkubwa yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video nyengine hii




20220708_194048.jpg
 
Hata Marekani Marais wengi tu wamewahi kuuuawa kuanzia Kwa akina Lincoln ,Kennedy na wengine wengi Hadi presidential candidates kama Robert Kennedy miaka ya 70
Naam USA imepoteza marais 4 waliouwawa kwa kupigwa risasi. Abraham Lincoln ambaye aliuawa mwaka 1865, James Garfield aliuawa mwaka 1881, William McKinley aliuawa mwaka 1901 na John F Kennedy aliuawa mwaka 1963.

Robert Kennedy aliuawa mwaka 1968 na sio miaka ya 70.
 
Back
Top Bottom