Hata Marekani Marais wengi tu wamewahi kuuuawa kuanzia Kwa akina Lincoln ,Kennedy na wengine wengi Hadi presidential candidates kama Robert Kennedy miaka ya 70Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.