Mkuu nilichojaribu ni kukiombea ushahidi..kama hakina ushahidi basi mimi mada nitaidondoshea hapo....
Kama sikosei conflict of interests ndizo zilizopelekea hata Said Yaakub kuacha kublog. Inasemekana BBC walimjia juu (just a hear say I am sorry)...
Mama taratibu una uhakika na unachokisema au ndo redio mbao....?
wierd
sasa I'm more keen kuisom hiyo blog kuliko mwanzo
maana Modus Operandi ya wanaompinga JM ni wale wale
wapenzi wa Mwanakijiji
wapendi wa Mbowe
wapenzi wa CHADEMA
mbaya zaidi couple earlier posts za kumpinga JM zilikaa ki inferiority complex tuuu maana sikuona wapi mtu kaja na cha maana zaidi ya kulalama eti ohh ni mtoto wa Makaba ohhh sijui nini
acheni hizo
mnataka alternative views halafu mnaanza kuogopa sijui woga wenu ni nini hasa. Kama hamuwezi kusoma blog ya JM nendeni mkasome yale magazeti anayooandika kijana wenu JJ MNYIKA
By the way hivi huyu mnyika mmemlipia shule au?
heeeeehheee. Sema wewe, yaani hawa manazi wanamsema Januari wanaacha kumsema Mnyika ambaye ukibonyeza kablogu kake hapa: JJ utakuta utumbo mtupu. Kiswahili ovyo ovyo kiingereza mbovu mbovu
......ndiyohiyo
heeeeehheee. Sema wewe, yaani hawa manazi wanamsema Januari wanaacha kumsema Mnyika ambaye ukibonyeza kablogu kake hapa: JJ utakuta utumbo mtupu. Kiswahili ovyo ovyo kiingereza mbovu mbovu
......ndiyohiyo
Mkuu hilo ni neno zito sana hasa kwa hoja ya mtu kama JM...unazi si mchezo bwana
I wonder if we can be this combative in person, or is it just the effects of the anonimity of the net.All the more reason to arrange that big JF party and see if it's gonna get as hot as anywhere near the temperature of this page of this thread.
Back to the thread naona sasa mjomba kaiba article ya NYT bila kutoa attribution, integrity zero.
Article "Best Books of 2008" is lifted from NYT vrbatim without attributing credits.
Mimi nilifikiri ni mimi tu aliyelift ideas from without attribution.
Nani tena huyo aliyeiba kazi ya mwenzie??
YournameisMINE and Mama will receive short term bans for uttering the above. Apologies for temporarily closing this thread without notice. Have a nice day !
Who else but January Makamba?
Kesho keshokutwa tutasikia speech ya JK imenyofolewa kwenye speech ya Neil Kinnock - bila acknowledgementy no less-
Hivi vigezo gani kupata kazi kama hiyo ,huhitaji kuwa umefanya kazi kama hiyo japo kidogo kabla ya kupewa kuhusika karibu na rais .Internship ya Ngala tu au kuna mengine !
Mimi nadhani kazi hiyo sio on job training na wasiwasi anaweza kufanya kitu kama hicho ikawa taabu.
Note the last name Makamba, big kigezo.
Muungwana na mshua wake walisota pamoja way back in the days, ndiyo sababu hata baada ya Makamba the dad kuboronga chama bado muungwana anamuonmea haya, kwa sababu wana a personal relationship inayoenda back way back in the days a ala Mwinyi and KK.
Bwana mdogo alikuwa hana ndoto ya kuingia Ikulu, alikuwa anatafuta kazi Mission yetu UN, baada ya kusikia Kikwete is a plausible next president akarudi nyumbani kwenye kampeni na ku declare kwamba hawezi kuzungumzia uchaguzi kwa sababu "ana candidate wake"
Kikwete anaendesha mambo kiundugunaizesheni, jamaa anatoka shule straight kuagiza pizza za domino kwenye frat dorms George Mason anaenda kuwa right hand man wa rais bongo!
What do you expect?
I wonder if we can be this combative in person, or is it just the effects of the anonimity of the net.All the more reason to arrange that big JF party and see if it's gonna get as hot as anywhere near the temperature of this page of this thread.
I tell you this, should that JF bash materialize and both Nyani Ngabu and Njabu Ngabu are in the house, I guarantee you it's gonna be bombs away. I don't about Mama and YNIM....but I hate that dude's guts.
Nyani,
We should make this happen for real.We clash so much all year not to have this.
Anonimity is paramount of course.
Hata ATL nakuja, let's make it happen.
Two wrongs do not make a right.Kama Mnyika anachemsha eleza anapochemsha, sio kutumia kuchemsha kwa Mnyika kum shield January.
Mimi nimeshapoint alipochemka January, kama una la kusema kuhusu January au Mnyika sema, ila usilete philosophically twisted protectionism.
Hapa ni JF where we strive to maintain international standards in a country where the idea of standards, let alone standards themselves, is foreign.