THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Mtu anayemuamini mwana CCM yeyote anahitaji matibabu ya ubongo.
This is paranoia at its best. Hivi nani kakuambia anaenda kuingia mkataba kwa niaba ya Serikali? Mamlaka ya aina hiyo hana. Hawezi kuwakilisha Wizara wala TANESCO kwa vile yeye sio mtendaji, ni Mbunge wa kawaida na sio mwakilishi wa Serikali.
Sioni wapi ni dhambi kwa yeye kuhudhuria mkutano, mdahalo au panel discussion kwa niaba yake binafsi au kwa ruhusa ya Ofisi ya Spika ndani au nje ya nchi.
Huyu kijana anaweza kuwa tishio zaidi ya Rostam. Rejea waraka wa dada yake kwa Barrick. Tujitahidi kumpinga kwa nguvu zote.
Nilishasema tangu awali kwamba January is a visionary that Tanzania need. Tunamfahamu tangu kule YoungAfrica mpaka hapa Jambo Forum kabla ya jamii forum tulikuwa tunaona why he is different compare to others.
Tatizo lake ni kuazaliwa na mzee makamba labda? But other than that the guy is executor and visionary. He forecast things which are beyond normal eyes.
Tunachoendeleza humu ni chuki na majungu na roho mbaya. Wengine humu hatujui hata what this guy is stand for lakini sababu ana jina Makamba in the end of January basi tuna shoot it. We need everybody who is for change, Tanzania need a visionaries, Tanzania need many Zitto and many January.
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.
Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).
Na hivi karibuni pia nimeona website yake, januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.
Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...
Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.
Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.
Who among them is up for change? who has ever changed anything?..name one.Nilishasema tangu awali kwamba January is a visionary that Tanzania need. Tunamfahamu tangu kule YoungAfrica mpaka hapa Jambo Forum kabla ya jamii forum tulikuwa tunaona why he is different compare to others. Tatizo lake ni kuazaliwa na mzee makamba labda? But other than that the guy is executor and visionary. He forecast things which are beyond normal eyes.
Tunachoendeleza humu ni chuki na majungu na roho mbaya. Wengine humu hatujui hata what this guy is stand for lakini sababu ana jina Makamba in the end of January basi tuna shoot it. We need everybody who is for change, Tanzania need a visionaries, Tanzania need many Zitto and many January.
Duh !! Mleta mada mbona nakuheshimu sana leo imekuwaje ? Anyway wacha nisome maana ndiyo maana ya uhuru huo .
Sidhani kwamba watamzima kwa design hiyoo!Kwa ccm watamzima kama Amina chifupa endapo ataendelea kuongea ukwel,kama jana kwenye mdahalo alivyomsema Ngereja na Werema laivu
Dogo naskia ana bifu na riz1
Mange, ningeweza kuwasiliana na Mwamvita*ningemtumia ujumbe lakini sina
mawasiliano naye.*Mimi ni mtu wa karibu sana wa Ridhiwani
Kikwete.*Kuna bifu la chinichini kati ya Januari na*Ridhiwani.
Ridhiwani anadai kwamba matatizo*alonayo ya ufisadi yametokana na January.
Anasema*kwamba, January alipekeleka habari zake kwa*wanachadema na
pamoja na kwa mchungaji mtikila.*Pia anadai kwamba January anapeleka siri
nyingi za*baba yake kwa Lowasa na Rostam Aziz. kwa maana*hiyo amekuwa
kitumia watu wengine ndani ya Vodacom*kuwachafua January na mwamvita.
chanzo cha*kumchafua mwamvita siyo maxence bali ni ridhiwani*kikwete.
habari ndo hiyo. ni Ridhiwani, na*aliyetuma nyaraka kumchafua mwamvita ni
shushushu*ambaye anamsaidia Rizinani. walipanga hili swala*pale
Meditarenneao restaurant kawe
Nimeona ni "bure",...sijajalibu maana so far sina cha kumwambia
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.
Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).
Na hivi karibuni pia nimeona website yake, januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.
Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...
Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.
Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.
Mhn!kumbe bado upo?Nilishasema tangu awali kwamba January is a visionary that Tanzania need. Tunamfahamu tangu kule YoungAfrica mpaka hapa Jambo Forum kabla ya jamii forum tulikuwa tunaona why he is different compare to others. Tatizo lake ni kuazaliwa na mzee makamba labda? But other than that the guy is executor and visionary. He forecast things which are beyond normal eyes.
Tunachoendeleza humu ni chuki na majungu na roho mbaya. Wengine humu hatujui hata what this guy is stand for lakini sababu ana jina Makamba in the end of January basi tuna shoot it. We need everybody who is for change, Tanzania need a visionaries, Tanzania need many Zitto and many January.
Watanzania mtakaa na kuishia kusifia wanasiasa huku shida kibao zimewajaa hadi machoni ilihali wenzenu wala na kusaza na makombo kutupia mbwa,amkeni acheni ujinga!
WADAU WA SEKTA YA NISHATI NA MADINI WASIPOMKODOLEA MACHO TAMAA ZA HUYU KIJANA JANUARY MAKAMBA NA ZITTO KABWE, TAIFA LETU KUSIKIA FAIDA ZA KUJALIWA GESI REDIONI TU HUKO MBELE YA SAFARI
Mara baada ya ufisadi huu mkubwa wa DOWANS unaomkera kila Mtanzania leo, kuna uwezekano mkubwa sana ufisadi mwingine mkubwa zaidi tena utakaogharimu taifa mpaka vitukuu endapo HAWA WABUNGE VIJANA WANAOUTUMIA UDHAIFU WA CCM hivi sasa watakapoachiwa maswala hasa ya mradi wa gesi na madini kuchezea wapendavyo kwenye kujipeleka nazo kama mali binafsi kwa makampuni ya kimataifa.
Tusipoziba ufa leo juu ya mikataba zaidi na hasa itakayosaidiwa kuingiwa na January Makamba na pengine kuchangi KUMPOFUSHA KABISA huyu Zitto Kabwe na huku kucharaza ndimimbili kwake, UFISADI UTAKAOFWATIA hasa juu ya MAJADILIANO JUU YASIODHIBITIWA NA WADAU WENGI JUU YA MIRADI ITAKAYOTOKANA NA GESI NCHINI, watu tujiandae kulia na kusaga meno zaidi.
Onyo langu ndio hilo hapo, hutaki basi!! Ukistaajabu ya DOWANS subirini miradi ya gesi inayokuja.
mkuu ni ngumu sana hawa mafisadi wa nyakati tulizo nazo kuota mizizi kama ya rostam au chenge na mlokole feki lowasa
mungu ametujalia tumefunguka macho,
huyu tunamuanza hata kabla hajamaliza kipindi chake cha ubunge!