KAWE pia
Kapotosha wapi?Unapotoshaaa
Hongera sana CCM.
Kawe mkuu
Edit tena nyamagana, mbulu, ilemela haya yameenda ccm, n.k.Pamoja na ukweli kuwa kuna majimbo CCM imeyapoteza, lakini kuna mengine yamekombolewa. Mpaka sasa majimbo yafuatayo ambayo yalikuwa chini ya Upinzani sasa yapo chini ya CCM
1, MUSOMA MJINI
2.ILEMELA
3. NYAMAGANA
4. BUKOMBE
5. KIGOMA KASKAZINI
6.KASULU MJINI
7.KASULU VIJIJINI
8. KIGOMA KUSINI (not confimed)
9.LINDI MJINI
10.MPANDA MJINI
11. MBULU
12. MASWA
13. BARIADI MASHARIKI
14. MUHAMBWE
15. MEATU