January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

Nyie mnapenda maisha ya siasa mkuu, maisha kama haya.. JPM hakuwa mtu wa hivyo
Alikuwa mjinga,huwezi haribu uchumi sekta zingine Kwa visingizio vya kipuuzi
Swali Mbona Sasa hivi Kila sekta Kuna pesa tena zimeongezeka mara 2,zometoka wapi? Mfano Watoto wa vyuo Vikuu wote wamepata mkopo yule mtu wenu alishindwa 🤣🤣
 
Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,

Mambo tayari huko
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
JPM forever, credit kwa Kalemani,huyo ndugu Makamba alidandia tu huo mradi ili aonekane kafanya kazi wakati si kweli

Nakukumbusha mradi ulikuwa umefikia asilimia zaiidi ya 70%,wakaushusha mpaka asilimia 37% ili waonekane wameukuta uko chini,ni fala tu kama wewe ndio atapinga,

Miradi mingi ya kimkakati ilikuwa juu kwa% kubwa lakini ikashushwa ili kufanyike upigaji, pathetic!
 
Alikuwa mjinga,huwezi haribu uchumi sekta zingine Kwa visingizio vya kipuuzi
Swali Mbona Sasa hivi Kila sekta Kuna pesa tena zimeongezeka mara 2,zometoka wapi? Mfano Watoto wa vyuo Vikuu wote wamepata mkopo yule mtu wenu alishindwa 🤣🤣
Sekta zina hela eeh ?
acha tukaushe.. ila hali sio shwari kama ambavyo wanasiasa wanasema .. issue ni tight kinyamaa
 
Ni kweli yule bwana kuajiri kulimshinda akaishia kufukuza watumishi kwa kisingizio cha vyeti feki
Hakuwa na hela ,Mzee wangu alistaafu kazi kuja kupewa mafao baada ya miaka 2 tena kwa.kupunjwa 😁😁

Unafukiza wafanyabiashara,unakamata matajiri,unagombana na majirani sijui Wazungu utapata wapi wawekezaji?

Propaganda zilikuwa nyingi kuliko vitendo,imagine Rais anaenda kuzindua Vituo vya Afya,hiii kazi Samia akitaka kufanya atafia barabarani maana Kuna utitiri wa miradi sekta zote.
 
Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,

Mambo tayari huko 🔥🔥🔥
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba

Hongera Hayati Rais Magufuli kwa uamuzi wako usiyoyumba kama ungekubaliana na huyu Makamba ambaye alisema tunaharibu mazingira nafikiri mradi huu ungekuwepo!
 
Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,

Mambo tayari huko 🔥🔥🔥
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba

January Makamba,Akiwa Waziri Ofisi ya makamu wa Rais mazingira na Samia Akiwa makamu wa Rais alipinga ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere Leo anasema. Bwawa Kuanza Uzalishaji wa Umeme Mwezi Juni 2023.

Baada ya kifo cha bwana Yule kapewa tena wizara ya nishati na aliyekuwa bosi wake saa100.

Sasa ninajiuliza siasa Sio Mchezo mchango Kweli?
 
January Makamba,Akiwa Waziri Ofisi ya makamu wa Rais mazingira na Samia Akiwa makamu wa Rais alipinga ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere Leo anasema. Bwawa Kuanza Uzalishaji wa Umeme Mwezi Juni 2023.

Baada ya kifo cha bwana Yule kapewa tena wizara ya nishati na aliyekuwa bosi wake saa100.

Sasa ninajiuliza siasa Sio Mchezo mchango Kweli?
Hongera Hayati Rais Magufuli kwa uamuzi wako usiyoyumba kama ungekubaliana na huyu Makamba ambaye alisema tunaharibu mazingira nafikiri mradi huu ungekuwepo!
Alipinga Kwa hoja lakini akapewa dhamana ya usimamizi amesimamia vyema kabisa tena Kwa speed ya mwanga
 
Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi 🤣🤣

Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par
Wewe uko kwenye lile group la wezi, vyeti fake, wauza madawa ya kulevya hivyo lazima ulalamike sana na huwezi kumsahau kwa kukunyosha.
 
Back
Top Bottom