January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.

Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe

Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.

Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.

Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.

Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"

SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%

Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA

TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"

J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"

alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).

MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA

Huyu ------ ni JANGILI SUGU LA MENO YA TEMBO..... MUULIZENI KUWA KAMA SI HEKIMA NA BUSARA NILITUMIA RUAHA NP. SI NINGEMMALIZA KWA RISASI... MENO A TEMBO ALOCHUA ALIPELEKA WAPI? ----- HUYU MAKAMBA KAMA BABA YAKEE
 
Siasa ni vita, umri katiba ni 40 tuangalie je wagombea wana sera, hivi ikiwa unatuhuma za wizi wa mtihani wa kidato cha nne je huko ikulu utaiba nini, kama sio kuiuza nchi na wananchi? Sisi kama wadau wa vyama pinzani tusihofie umri bali tuimarishe sera ili ashindwe kidiplomasia
 
Ahaa mgosi na wewe umekuwa mamluki. Duara azungushe Mbowe mumseme January. Pale Forest alipata Two ya kumi Sheikh. Chuki ruksa lakini uongo dhambi.

Mimi nasubiri kwa hamu sana mdahalo wa kwenye luninga kati ya JMAKAMBA na Babu Slaa. WaTanzania watapata fursa ya kujua lipi garasa na nani ni jembe.

Chadema wacheni uoga. Na Jmakamba chukua form, hawa washakuogopa hata kabla hujatangaza nia.

Duh! Kweli ccm wanahaha..it was Lowasa,ngoma ikavuumaa,ikapasuka sijui wameenda kuichemsha kwenye moto au jua!...leo wameibuka na january itavuma kidogo mno..huyu dogo babake alimuaribia sana,mzee anaroho mbaya kama kiwanda cha sumu je mwanae?..atudanganyiki ng'oo.
 
Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa CCM 2012 pale Dodoma,Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ambao ni wajumbe wa MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA waliwachagua Makada KUMI (10) kuwa wajumbe wa NEC Taifa.
Aliyeongoza ni Stephen Wasira akifuatiwa na January.
Sasa ndani ya CCM unadhani WASSIRA anakamatika?
January anajifurahisha, Lakini WASSIRA ndio habari ya mujini 2015.
 
mwanaume mzima fedha anayohongwa dadake yeye ndio anafanyia kampeni~~` huyu hafai hata udiwani
attachment.php
ina maana binti makamba alirusha roho na mtu ili tu kakaake amuondoe mzee shelukindo? hii kali kama kweli stahili hii itatumika naamini mashabaro wote duniani watahamia hapa. hiii si tabia inayotarajiwa kutoka kwa mtoto wa kiongozi kama mzee makamba ,oghosh. it is a shame. shame on you Januarius Yusuf Makamba. take out yourself from this disdain
 
Galasa kama January anaweza kumuumiza kichwa nani ndani ya Chadema? Hizi propaganda na minada anayojifanyia kupitia mitandao ya kijamii pamoja na ''wasomi njaa'' wa vyuo vya elimu ya juu ndio vinamdanganya?
Mwizi wa mitihani kamwe hawezi kuimiza kichwa Chadema kwakuwa kazi tunayoifanya inajieleza na ndio maana Chadema ndio tishio kwa maccm. Juzi tu tumemsoma naibu katibu mkuu wa ccm akimlalamikia kamanda Jesca wa Iramba sasa hapo si ni wazi kuwa Chadema ndio kitisho kwa ccm!?
 
Soma kwanza hapa. Ndio maana mnamuogopa huyu dogo. Siasa za kushusha sera sio kuhamasisha watu kuandamana na mipasho.

January Makamba, Tanzania's deputy minister for communications, science and technology, tells Interfax how the country will prepare for the influx of wealth into its oil and gas sector.
Interfax: How well-prepared is Tanzania for the influx of gas investment that will come from the development of the gas reserves?

January Makamba: I don't think we are as prepared as we should be, but I also think there is a bit of urgency and awareness of what we need to do. There are issues with the institutional setup – whether it is the revenue authority, the business registration approvals, ports, all the institutions in the public sector – everything involved in dealing with the influx of money.
You also have human resource preparedness. There are always complaints that these companies create a lot of high-paying jobs, which are taken by people from outside the country, so we don't benefit as much as we should. But we ought to prepare Tanzanians with the skills needed in these industries. Efforts are being made to get as many young people as possible to go out and study petroleum sector skills.
There is a legal and regulatory preparedness as well. The laws, policies and regulatory setup has to facilitate the establishment of businesses here and also be for the benefit of the country as a whole. The local private sector should also be ready to engage, particularly in the service industries such as insurance, industry or transport. We must move beyond shopkeepers and traders to become real players. So in some aspects we are OK, in others we are not.

Interfax: What steps is the government taking to get those aspects you mentioned moving forward?

JM: There is a new draft gas policy that is under consideration. This should be out in the next month or so. There is a gas bill, also. As you know, the fourth licensing round has been suspended to allow these new policies to come into effect. That speaks about the desire for us to have a legal regime, a regulatory regime that serves the interests of the country. It also recognises that Tanzania is no long a frontier, risky country in terms of exploration. The current regime was set up when nobody wanted to come here. We have to create a regime that reflects the developments that have taken place.
The government is trying to get as many people as possible learning petroleum-related skills. Also, the companies are doing a good job in training people up. I also heard that there is a local content policy that is being developed, so I hope that helps local entrepreneurs getting involved. I think a lot of people have learned from the mining sector. The [mining] sector exists in isolation from other facets of industry and I think we should not make this mistake in oil and gas.

Interfax: Local content is a big issue, can you given any more details about what the requirements might be?

JM: I don't know what the current thinking is but, if you ask me, it should be clear to the oil companies that you can score companies using a local content criteria. For instance, if BG Group, Royal Dutch Shell, Petrobras or Statoil want to hire an insurance company, they should procure competitively but the companies with a local content – such as a local presence, ownership, bank account, employees – will be favoured. Likewise with security and catering – if you want to get caterers for a rig, the company that will likely win the tender is the one with most food sourced locally. If you do that you will most likely achieve the local content requirements. That's just a thought, there are many ideas.

Interfax: Are there any countries Tanzania is using as a template?

JM: We are talking to a lot of different regions, but it seems to me that Norway will be the model. There is a historical link. The Norwegians have been involved here in oil and gas for a long time. A lot of the guys in TPDC [Tanzania Petroleum Development Corp.] have been trained in Norway. Norway is a country that has done well in terms of not only an institutional and regulatory framework, but also in management of resources.

Interfax: You mentioned a gas policy document and a gas bill, are they different things? Will the policy document lead to a gas bill?

JM: The policy document comes first and leads to a gas bill because the law derives from these big policy aspirations. For full benefit, you need to have a package of policies and laws looked at. You cannot just look at gas and oil in isolation. For instance, it would be preferable for the gas to lead to industrialisation and, therefore, you have to link gas policy with industrial policy. You would want to generate more reliable and cheaper electricity, and therefore you must look at the power system master plan together with the gas policy and gas law. You would also want to create a condition for infrastructure investment for the downstream. So you have to have a gas utilisation master plan that also talks about infrastructure investment incentives in the downstream. You do not just want to have LNG plants to ship out the gas and be happy with the revenue. You would also want the local economy to be stimulated by the gas finds. So you have to be very deliberate in terms of these things so the power system master plan, gas utilisation, industrial policy and all these things talk to each other

Interfax: When is the gas bill likely to come out?

JM: I hope before the end of this year. But what I would wish is for wider consultation on the gas bill so that we do not create a law that is inimical to the development of the sector. You have to look at the interests of everybody. We should create a law that is smooth, in terms of implementation, in terms of enforcement, but also a law that will be facilitative, instead of just creating blockades and problems in the industry.
Interfax: What are the main points of debate within the government about the gas policy master plan?

JM: For us politicians, the main issue is who benefits. People are saying: We have to make sure we use the revenue wisely; we have to make sure we have better contracts; we have to make sure they are not stealing from us. Although there are also some serious technical issues that we ought to be talking about, in the parliament there is a general aspiration that the country must benefit from these resources.

Interfax: People often talk about the resource curse. Do you think the gas will be a blessing or a curse for Tanzania?

JM: If we do all the things that we say we are going to do, I think eventually this will be a blessing. I'm not worried, as there is a lot of awareness and a lot of conscious effort going into not making mistakes. Eventually it will come through good.
Lessons are already being learned from other countries. Sometimes, when we speak about a curse, it is not that people are intentionally stealing or benefiting, it is just the way you set yourself up – particularly in public infrastructure investment. If you are excited about all this revenue and put it in your budget so that you can spend more on public services or public investments, but without care of the macroeconomic effects, it will not work. So it requires a bit of patience; you may have all this money, but you have to be careful about how it enters the economy, it has to enter at a pace that is appropriate in terms of absorption into the general economy.
If you go and check out the IMF website there is something called the public investment management index, which tracks how governments invest public finances. We are not doing so well [in this index] in terms of value for money, in terms of procedure, in terms of choices. You can look at education for instance.
We are putting a lot of money [into education] every year, but the learning outcome has been constantly low. So you could say that we've got all this money, let's spend more on education, but we have to fix the things that make our current investment not work so well. The most important thing is that we will spend the money for the public good.

Interfax: One big threat is corruption, we've seen it in other countries and, earlier this year, there were allegations in Tanzania. What steps are being taken to prevent that sort of behaviour in government?

JM: It is still a problem in public service, but we are strengthenng the institutions. Transparency is critical for oil and gas. We are trying to create the highest level of transparency in revenue receipts, expenditure decisions, contracts and costs incurred by companies. Then people will be confident that nobody is really taking anything. We have joined EITI [Extractive Industries Transparency Initiative], which is helping to ensure that there is no corruption in this area.
The office of comptroller and government general is being strengthened and more money is being spent building capacity. Their reports are a major source of debate about public finances, which is a good thing. Institutional credibility is very important. There also ought to be cultural accountability, ethics have to remain an important issue in society. On the one hand, you have these structural issues, on the other you have the soft ethical issues of what society values. Does it value honesty? Does it value truth? It is a big debate.

Source: Tanzanian gas: blessing or curse?
 
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.

Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe

Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.

Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.

Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.

Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"

SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%

Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA

TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"

J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"

alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).

MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA

Hivi huyu January Makamba ni nani kwenye siasa za Tanzania? Ni mwana mfalme kama vile RIZ1?
 
Galasa kama January anaweza kumuumiza kichwa nani ndani ya Chadema? Hizi propaganda na minada anayojifanyia kupitia mitandao ya kijamii pamoja na ''wasomi njaa'' wa vyuo vya elimu ya juu ndio vinamdanganya?
Mwizi wa mitihani kamwe hawezi kuimiza kichwa Chadema kwakuwa kazi tunayoifanya inajieleza na ndio maana Chadema ndio tishio kwa maccm. Juzi tu tumemsoma naibu katibu mkuu wa ccm akimlalamikia kamanda Jesca wa Iramba sasa hapo si ni wazi kuwa Chadema ndio kitisho kwa ccm!?

-Tuhuma za kuiba mitihani.
Ilikuaje akubali kurudia mtihani ikiwa uzembe ulifanywa na NECTA kwa kutorudisha jina lake kama anavyodai?

-Tuhuma za kumtumia dada yake vibaya kwa njia ambazo ni udhalilishaji na aibu(kama ni kweli),sasa nafikiria ikiwa mtu unaweza kukubali dada yako afanyiwe hivi je kwa watu ambao hana unasaba nao itakuaje linapokuja suala la madaraka na pesa?Come on,January ni vyema akaweka mambo haya sawa kwa umma once and for all.Kunyamazia kashfa hizi mimi binafsi naanza kuziamini

-Kuhusu uwezo mdogo kwenye utendaji hilo lipo wazi maana kodi za laini ya simu kwa bibi na babu zetu kule vijijini haihitaji kuwa na degree kujua kuwa ni unyama na unyanyasaji wa kijinga.
 
Kumbe fungu la kampeni lilipatikana kwa style hii ya uzalilishaji wa kijinsia???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Halafu ujiulize kwa nini mikataba feki imekuwa haiishi pamoja na kuwa na Takukuru kwa miaka yote hiyo. Ilibidi mdada auze ki-za.lio kwa mzungu ili kaka mtu apate rushwa ya kuhonga Wasambaa. ******* zao.
 
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.

Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe

Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.

Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.

Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.

Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"

SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%

Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA

TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"

J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"

alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).

MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA
Makamba ni mwanasias kijana na anajitahidi katika tasinia ya siasa ndani ya Tanzania lakini inatakiwa tusiwe washobokaji kijana huyu bado haja fikia hadhi ya kuanza kupewa nafasi ya kuwa mgombea urasi mwaka 2015 mana kuna watu ambao wamemzidi sifa nyingi sana hata ndani ya ccm, tatizo la wana ccm uongozi wenu ni wa kichifu mana munataka majina yale yale yaliyo vuma toka enzi za mwalimu ndo yawe yanatawala siasa za tz na dno mana muna anza kumzungumzia makamba now KIJANA BADO SANA TUACHE KUSHOBOKA
 
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.

Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe

Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.

Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.

Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.

Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"

SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%

Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA

TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"

J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"

alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).

MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA

Hapo kwenye red unatafuta ugomvi na ustadhi Abdallah a.k.a Lowasa.

Hapo kwenye kijani ungetupa idadi ya hao vijana wailosema hivyo ili tujue ni wangapi hapa Tanzania.
 
Kweli uchambuzi na uelewa wa siasa ya nchi unahtaji elimu kubwa sana itolewe hususan kwa tabaka la vijana kwa sababu mtu anakurupuka na kupost hoja nzito za kisiasa bila kutambua kwamba ni
1) aina gani yahoja,
2) ina uzito gani
3) kwawapokeaji,
4) itapokelewa kwa hisia gani,
5) nihoja inayohitaji utafiti wa kina kabla ya kuletwa jamvini,
6) mtoa hoja ana uelewa gani wahoja nzito zakisiasa.
Pia kwa mwanasiasa aliye nauelewa mzuri wa siasa hakuna ukurupukaji ktk siasa kwa sababu mfumo wa kisiasa ndio unaotoa mwelekeo wa maisha mazuri au mabaya ya wananchi. Ukurupukaji huu huu ndio umetufikisha hapa tulipo. Wanajamvi wenzangu nawaomba tuepuke kupost ukurupukaji hapa jamvini, ni imani yangu kwamba waelewa wahoja za kisiasa huwa makini kiupembuzi. Hili la urais tutambue kwamba ni suala lakitafiti, umakini, ujasiri, nahekima zaidi kwa sababu tukiendelea kukurupuka ktk urais tutaendelea kupata marais wakurupukaji. Tutumie jamvi hili kwa weledi.
 
miaka yote msema kweli hushambuliwa kwa mawe, hayo ni maoni ya kijana mwenzetu na mzalendo halisi Asenga je wewe unayepewa sum kwanza ndo upost? kazi kwako kwa kuwaangamiza Watanzania.
 
This is garbage.Ni lini January Makamba aliwahi kujadiliwa Kamati kuu ya CHADEMA?

Asitutoe kwenye ajenda zetu.By the way tuhuma za wizi wa mitihani kidato cha nne kule Galanos hajazitolea majibu ya kutosha.
We jamaa sijui wa aina gani,wivu kwa vijana wenzako unashindwa kuuficha hivi unategemea utatoka kisiasa kwa mgongo wa chuki,fitina na majungu.Shame on you...
 
A New Africa is Beckoning

By January Makamba - 28 June 2013

Dear President Obama,

Welcome back to Africa – where all humanity began. We have been expecting you for some time.
You are visiting the continent at its most exciting time. We are in the middle of a transition from the old Africa that most Americans know todate to the new Africa that Africans all along believed it was possible. The narrative of a Hopeless Continent – a supplicant people in need of saving - has given way to that of a Rising Africa. GDP has doubled over the past 10 years. Africa’s GDP per capita has crossed the $1,000 threshold for the first time in history. More children are in school than at any time in history. Dictatorships are dwindling. Infant and child mortality rates have cut by a half. The continent has more mobile phones than Europe and North America combined.

As you arrive here, you will see a lot of things – colours, bright sun, and wide smiles. It will be irresistible to beam these photos back home. But, as you think about America’s partnership with Africa, please consider how the following trends should shape the partnership between Africa and America:
One, there are many of us: about one billion - a little fewer than the Chinese and Indians. By 2050 we will reach 2.2 billion, surpassing China and India by far. Also, of the one billion Africans today, seven hundred million are under 30 years old. The median age here is 18.5 years. This scale of growth – about 2.2 percent compared to global average of 1 percent – will have implications on almost everything, not only in Africa but also in your own country where the politics of global population control is intense.

Some see this reality as scary. We see it as an opportunity – so long as we make smart investments in our people. And there is no smarter investment than education. As you think about partnership with Africa, a partnership with lasting legacy, think education – skills and competencies to contend with the challenges and requirements of the new millennium. You have done it before.

Second, the association of Africa with a village is gone. Africa is leading the world in the creation of a new Urban Millennium. Within our lifetime, Africa will have more people living in urban areas (1.24 billion) than its entire population today (1 billion). Dar es Salaam, where you will visit, will double its population in the next 15 years whereas the Gulf of Guinea will become home to three hundred cities, each with over 100,000 people. Why is this important? Urban Africa provides the fulcrum of Africa’s growth. The 40 percent of Africans living in urban Africa produce 80 percent of its GDP. Cities provide hotbeds for political and social progress or instability. As you think about partnership for Africa’s growth, think cities. The United States is best poised for partnership with Africa in urban creation, planning, and renewal and investments in urban systems – transport, housing, energy and sanitation.
Third, you will be photographed more by cellphone cameras than actual photo cameras. This would not have been the case just a decade ago. In 1994, 70 percent of Africans had never heard a telephone ring but, today, of one billion Africans, there are 700 million mobile phone subscribers. This has enhanced financial inclusion, facilitated service delivery and helped lower the cost of doing business. While the mobile revolution has been truly inclusive, broadband access has not. As you push for expansion of broadband for Americans, partnership with Africa in this area will see Africa leapfrog into a new digital age. For every 10 percent increase in broadband penetration, the economy grows by 1 percent, and doubling of internet speed yields an additional 0.3 percent GDP growth.

Fourth, as you drive around, you may notice a lot of Chinese people and signage in our streets. Yes, they are here – in big numbers. In the last 10 years, for better or for worse, over one million Chinese moved to Africa – to settle and do business. Why? Because first, they ignored how Africa is covered in the Western media and secondly they saw something that Americans were late in seeing: Africa is not just a destination for volunteer work and suntanning. It is also a place where returns on investments are almost guaranteed. We are delighted that you will be bringing along with you planeloads of American business people. American businesses can lead the way in showing that foreign investments is not a zero-sum game and that it is possible for businesses to succeed in Africa without paying bribes.

Fifth, you will hear a lot about natural resources and Africans’ quest to benefit more from them. You will hear murmurs that Americans and the Chinese are competing in Africa over Africa’s natural resources. These suspicions may be unfounded but they are a result of history. Not long ago, when America was already free and a democracy, there was an open scramble – among foreign powers – for Africa’s resources; there was King Leopold in the Congo; African countries were business companies owned by dukes in Europe. Some in the continent see this exploitation continuing in different forms – a notion facilitated by the fact that very few Africans have seen the benefits of extraction of natural resources in their countries. Partnership with America should be grounded in building the capacity of Africans to harness their own natural resources responsibly and for the benefit of their own people.
Finally, over the past 10 years we have seen some good initiatives by American Presidents related to Africa: President Clinton’s Africa Growth and Opportunity Act (AGOA) and President Bush’s President’s Emergency Plan For AIDS Relief (PEPFAR) and the Millennium Challenge Corporation (MCC), to name a few. We are delighted that you have decided to continue some of these. But we are also happy that you have decided to take on some critical issues for Africa’s progress: transparency, through Open Government Partnership (OGP); energy through Power Africa; and agriculture through Feed the Future. The beauty about these new programs is that they can be executed without significant new money from the US government. OGP is about getting African leaders to do what is obvious and that doesn’t cost anything: letting people be informed, as much as possible, about what their governments are up to and giving them a greater voice in influencing government choices. Power Africa and Feed the Future can leverage the experience and capacity of American agriculture and energy firms in partnership with African businesses and governments to do what is clearly profitable and socially good.

While the general trends of the continent are encouraging, the reality remains that you are visiting a continent that is still the last frontier of human progress. Our economies have grown fast but absolute poverty and inequality stubbornly present. Over a span of 30 years – between 2000 and 2030 - our share of global GDP will climb from a meager 2 percent to 3 percent. Many people are still dying from preventable diseases. High unemployment, particularly among the youth, even the educated youth, endangers social and political stability. There is a huge skills gap. More children are in school than at any time in African history but 50 million children are out of primary and secondary school. We erect shiny skyscrapers everyday yet 60 percent of city dwellers in African live in slums. Governance institutions still need strengthening. The good news is that there is an emerging crop of new, young African leadership – in politics, private sector and civil society - able and ready to take on these challenges. They are the midwives of a new Africa - a new Africa that understands that aid may be necessary but should not be permanent, and that trade and investments is the future, and that installing a fairer international trade architecture should be Africa and America’s common objective. And we are glad that you have chosen to meet with them.

For what it is worth, America’s global leadership remains robust – at least for now. One way to retain and strengthen it in the face of insecure world and a deepening economic and cultural competition is to project it for the good of humanity. And this is the expectation of most Africans – that America shouldn’t befriend a country just for security or strategic concerns but because of advancement of shared values – of freedom, equality, tolerance and human progress.
The Romans used to say ex Africa semper aliquid novi,meaning, Out of Africa, always something new.So, Mr. President, welcome to our Africa.

Mr. January Makamba is a Member of Parliament and Deputy Minister of Communication, Science and Technology in Tanzanian government. He is also the World Economic Forum’s Young Global Leader and Archbishop Tutu Leadership Fellow
.

Source: http://taifaletu.blogspot.co.uk/2013....html?spref=tw
 
Back
Top Bottom