January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

Agombee urais wa wanywa gongo,upuuzi kama huu uishie ndani mlipokua mnaburudika na makamba,au alikwambia utakua first la....?????
 
tatizo la cdm wao wanajifanya wanajua kila kitu,,wanajifanya wazalendo kushinda mtu yeyote na mawazo yao wanataka yawe final,,,wanapenda kauli za watanzania hatutaki,,wakati wako wa3,,,shame on them hii ni nchi ya kidemokrasia ndio maana ata iyo cdm imejulikana,,sasa january makamba kupendekezwa kugombea urais,,ni kama mmeekewa pili pili kwenye nanii,,,,
acheni ubwege,,,

Mkuu sasa mnalazimisha kupendwa au???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
january makamba azidi kuitesa chadema
wahaha na magazeti yao kumchafua.

Alianza mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe

ndani ya kamati kuu ya chadema wasema ni mtu hatari kwa chadema mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.

Wasema zito angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao j m atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.

Waandaaa mikakati mingi zaidi,kumchafua nape na mwigulu.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.

Mwenyewe j makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na mungu ni mkubwa"

sauti ya vijana wasema:
Rais wa 2015 hawezi kutoka nje ya ccm,wanasubiri tu kukuche dodoma na jogooo liwike,kama ni makamba,au wewe.... Suala ni ccm kurudi ikulu kutekeleza ilani na kushinda viti vya ubunge zaidi ya 80%

anaongeza john itango
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki j makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, chadema ndio hao wanaomchafua daimondi kwenye mitandano kwakuwa kakataa kuwa mwanachama wao,wao kila mtu anaekubaliaka ambae yupo ccm wanataka kumchafua tu, hapa wamenoa

tunasema ccm haijaanza kumtafuta rais, ccm ndie itaamuwa nani mgombea sahihi wa urais 2015, je kama ni j makamba chadema mnaubavu wa hoja wakumzuia,?ccm ikesha sema?"cheza na ccm weye jogoo akiwika"

j makamba fanya kazi zako za unaibu waziri,... Vijana wenzako tunakuona na tunakukubali, ukifika wakati tutasema kama maoni yetu kwa ccm, na ccm itaamua kwa hekima kama ilivyo kawaida yake"

alisikika akisema mkt huyo wa umoja wa vija makini dsm (uvmd).

Mimi nasema; chadema acheni presha ccm haijasema mgombea wake nani, maana nyie mpo wa4 na wa 2 wameshajulikana, ccm wenyesifa ni zaidi ya 200
hamtaaacha kupata presha
we si ndo walisemaga siyo riziki au kama ni whites basi ni wewe
 
Hivi wanajamvini mnaujua vizuri uraia wa Januari Makamba? Anaasili ya UTUSI huyo hafai kuwa Rais wa nchi yetu Tanzania
 
Baba yake mzazi amechemka , atakuwa huyu ? Hivi kwanini kila anayetafuta umaarufu uchwara huko ccm lazima aitumie cdm ?
 
Mimi ndio nimechoka kabisa! Halafu kuna mtu ananitonya hapa kuwa kijana alizungusha duara pale forest hill.

Ahaa mgosi na wewe umekuwa mamluki. Duara azungushe Mbowe mumseme January. Pale Forest alipata Two ya kumi Sheikh. Chuki ruksa lakini uongo dhambi.

Mimi nasubiri kwa hamu sana mdahalo wa kwenye luninga kati ya JMAKAMBA na Babu Slaa. WaTanzania watapata fursa ya kujua lipi garasa na nani ni jembe.

Chadema wacheni uoga. Na Jmakamba chukua form, hawa washakuogopa hata kabla hujatangaza nia.
 
Zaidi ya kipara na utanashati sijaona sifa nyingine ya January Makamba kuwa tishio kwa CHADEMA, ni kijana ambaye kichwa chake kinamudu mambo machache na huwezi kumfananisha na Mhe.Mnyika,Mhe.Zitto Kabwe,Mhe.Filikunjombe na Mhe.Mdee. Tukiweka unafiki pembeni na kuangalia sifa na uwezo wa kiuongozi basi utakubaliana nami kwamba Mhe.Esther Bulaya ni kiongozi bora kuliko January Makamba. Hata Mwigulu Nchemba ameharibiwa na lines za wanaotengeza networks lakini anao uwezo mkubwa kuliko January Makamba.Hapo alipofika kijana huyo ni chura kupigwa teke!

pia ana sifa ya wizi wa mitihani.
pia ni rais wa twitter.
 
Mimi ndio nimechoka kabisa! Halafu kuna mtu ananitonya hapa kuwa kijana alizungusha duara pale forest hill.
yani pamoja na kukwapua mitihani bado alitaga yai? daaa ngoja nipunguze kushangaa maana hata mwenezi alipata mswaki wa civics.

Yani bora lusinde awe rais lakini si huyu february.
 
Ahaa mgosi na wewe umekuwa mamluki. Duara azungushe Mbowe mumseme January. Pale Forest alipata Two ya kumi Sheikh. Chuki ruksa lakini uongo dhambi.

Mimi nasubiri kwa hamu sana mdahalo wa kwenye luninga kati ya JMAKAMBA na Babu Slaa. WaTanzania watapata fursa ya kujua lipi garasa na nani ni jembe.

Chadema wacheni uoga. Na Jmakamba chukua form, hawa washakuogopa hata kabla hujatangaza nia.

Selemani hile mitihani aliyo kwapua ndio ilimsaidia kupata two? au hakuwai kuiba mitihani?
 
Last edited by a moderator:
Ahaa mgosi na wewe umekuwa mamluki. Duara azungushe Mbowe mumseme January. Pale Forest alipata Two ya kumi Sheikh. Chuki ruksa lakini uongo dhambi.

Mimi nasubiri kwa hamu sana mdahalo wa kwenye luninga kati ya JMAKAMBA na Babu Slaa. WaTanzania watapata fursa ya kujua lipi garasa na nani ni jembe.

Chadema wacheni uoga. Na Jmakamba chukua form, hawa washakuogopa hata kabla hujatangaza nia.

Kwa mujibu wa katiba ya JMT mtu anayegombea nafasi ya Urais inatakiwa awe na Shahada ya Chuo Kikuu kinachotambulika.Mwaka 2005 Freeman Mbowe aligombea nafasi ya Urais.Sasa ilikuaje Tume ya uchaguzi NEC ikampitisha mtu aliyepata div zero kama unavyotaka kutuaminisha hapa mkuu? Hebu weka majibu yako hapa ili tuweke records sawa..
 
Back
Top Bottom