Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.
Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe
Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.
Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.
Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.
Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"
SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%
Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA
TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"
J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"
alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).
MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA