January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

January Makamba azidi kuipa presha CHADEMA

We jamaa sijui wa aina gani,wivu kwa vijana wenzako unashindwa kuuficha hivi unategemea utatoka kisiasa kwa mgongo wa chuki,fitina na majungu.Shame on you...

Achana na huyo dogo. Ni Robot, sio binadamu.
 
We jamaa sijui wa aina gani,wivu kwa vijana wenzako unashindwa kuuficha hivi unategemea utatoka kisiasa kwa mgongo wa chuki,fitina na majungu.Shame on you...

Majungu?Vijana wenzangu ni wakweli na hawawezi ku-mortgage dada zao ili kutoka kisiasa.Na pia ni wakweli kuhusu taaluma zao.
 
ahahahahaha! mkuu kuna siku uliniuliza swali la uchokozi nkakujibu kimafumbo, hayo ndo majibu halisi, dada tunaye aisee. japo sura hana lakini anagawa kuna watu wanamzimikia ati.

Atakuwa anasafiria nyota ya mzee Yusuf
 
Halmashauri yatenga Sh700 milioni kutengeneza barabara

Bumbuli.

Halmashauri ya Bumbuli imetenga Sh700 milioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya barabara.

Akizungumza na wakazi wa wilaya hiyo hivi karibuni, Mbunge wa Bumbuli, January Makamba alisema Serikali imeanza kushughulikia barabara za eneo hilo na kwamba, kiwango hicho ni kikubwa kuliko fedha zilizowahi kutengwa kwa barabara za jimbo hilo.

Makamba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, alisema hayo ni matunda ya kuanzishwa kwa halmashauri hiyo.

Alikiri kuwa barabara ya Mbelei-Mgwashi-Mashewa ni mbaya kwa miaka mingi, haipitiki wakati wa mvua.

Mbunge huyo alisema kati ya fedha hizo, Sh89 milioni zimetengwa ajili ya barabara ya Mbelei-Mgwashi hadi Mashewa.

Alisema ilipokuwa utawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, waliweka barabara hiyo kwa zile zinazoombewa kuwa za mkoa, ili zipate huduma kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) lakini hawakufanikiwa.

Hata hivyo, Makamba alisema ombi hilo watalipeleka upya kikao cha Bodi ya Barabara ha Mkoa na kwamba, ana uhakika litapitishwa.

Kuhusu maji, Makamba alisema Sh1.6 bilioni zimepatikana kutekeleza mradi mkubwa wa maji ambao utahusu vijiji tisa vya jimbo hilo.

Alisema masharti ya ufadhili huo ni kuwa wananchi wanatakiwa kuchanga asilimia 2.5 ya gharama za mradi huo ambazo ni Sh23 milioni.

Source: Halmashauri yatenga Sh700 milioni kutengeneza barabara - Biashara - mwananchi.co.tz
 
Ama kweli nimeamini kama unataka stress asubuhi asubuhi basi tembelea jukwaa la siasa,maana post zingine zinaudhi.
 
mmmmh kama ni kweli bac hafai hata balozi wa nyumba kumi.
mwanaume mzima fedha anayohongwa dadake yeye ndio anafanyia kampeni~~`
huyu hafai hata udiwani


attachment.php
 
Samba la CDM nomaa! Aliishindwa mzee wake hadi akaomba afanyiwe sub! Jan kitu gani!?.Ebu nenda kamungunye magnesium upunguze ushuzi wako hapa. Haaalaaaaaaaa!
 
misisiem haitaki kuelewa haina mtu anaeuzika hata mkijaribu kutumia mgongo wa CDM.
 
Et Makamba naye urais?,CCM wameudhalilisha sana urais wa nchi hii,hata wa TFF tu hawezi pata.VIJANA ACHENI KUTUMIWA
 
Et Makamba naye urais?,CCM wameudhalilisha sana urais wa nchi hii,hata wa TFF tu hawezi pata.ACHENI KUTUMIWA KM CONDOM
 
TUMEONA MIFANO MINGI YA KUCHAGUA WATU AMBAO KIELIMU WASOMA LAKINI IN THE MATTER OF WISDOMITY MATURITY NI ZERO ONA MWIGULU! kwa tanzania yetu bado sana,President must have atleast 55 and above with clean record,intergrity and so pia SIAMINI KAMA J MAKAMBA anaipa CDM presha WAWE KUJIFARIJI HIVYO ILI UWEZE HATA KUNYWA SODA
 
Back
Top Bottom