Tuombe uzima mdogo wangu.
Tuombe uzima!
Tuombe uzima mdogo wangu.
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.
Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe
Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.
Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.
Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.
Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"
SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%
Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA
TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"
J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"
alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).
MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA
jamani hazina za magamba hizo... wala zisitupotezee muda wapenzi wa CDM... majamaa wana akiba nzuri ya vilaza bhana... shame on them.
Mwammy ndiyo nani??
Ahaa mgosi na wewe umekuwa mamluki. Duara azungushe Mbowe mumseme January. Pale Forest alipata Two ya kumi Sheikh. Chuki ruksa lakini uongo dhambi.
Mimi nasubiri kwa hamu sana mdahalo wa kwenye luninga kati ya JMAKAMBA na Babu Slaa. WaTanzania watapata fursa ya kujua lipi garasa na nani ni jembe.
Chadema wacheni uoga. Na Jmakamba chukua form, hawa washakuogopa hata kabla hujatangaza nia.
ahahahahaha! mkuu kuna siku uliniuliza swali la uchokozi nkakujibu kimafumbo, hayo ndo majibu halisi, dada tunaye aisee. japo sura hana lakini anagawa kuna watu wanamzimikia ati.Hivi ndugu zangu wa Bumbuli wanalijua hili? Kwamba dada alitumia "Thank you Baby" kama raising fund machinery kumsaidia kaka kupata ubunge wa Bumbuli? Kwamba kama kuna mtu alipewa ubwabwa,kanga na pocket money na Makamba Jr zilitokana na juhudi rasmi ya Mwammy kwa "Handsome wa Barrick" under his care and arms? He he he! Kweli dunia imejaa maajabu! Leo kuna watu kama hao wanasimama hadharani na kukebehi majembe kama Mhe Silinde aliyejitosa kugombea bila hata shilingi wala mjomba wa kumpaisha?
January kweli hii? Kwamba unakubali dada adhalilike ili upate pesa ya kampeni ya Ubunge? Jee huo Urais sii utaruhusu hata mama Yeyoo naye ajitose kusaidia? Kaa pembeni dogo,NIMEKUDHARAU SANA.
CC zumbemkuu
CC mohamed Mtoi
Another Stupid Post from a stupid
Now is the stupid one, you who have nothing to write but insult people, or the gentleman who came with his thoughts. Lets be democratic and allow others to express their opinions.
pia ana sifa ya wizi wa mitihani.
pia ni rais wa twitter.
ahahahahaha! mkuu kuna siku uliniuliza swali la uchokozi nkakujibu kimafumbo, hayo ndo majibu halisi, dada tunaye aisee. japo sura hana lakini anagawa kuna watu wanamzimikia ati.
ahahahahaha! mkuu kuna siku uliniuliza swali la uchokozi nkakujibu kimafumbo, hayo ndo majibu halisi, dada tunaye aisee. japo sura hana lakini anagawa kuna watu wanamzimikia ati.
Mgosi unajua ilikuwa ngumu kukuelewa kwani sikufikiria kabisa kwamba ukoo huo unaweza kujiingiza katika madaraka kwa njia ya aibu namna hiyo. Dada anagawa na kujisifu hiyo yote kwa ajili ya brother? Sasa wanaomsifu January kweli wataendelea kumsifu ilihali kabebwa na baba na dada naye katumia "Uchumi wake" kumsaidia?ahahahahaha! mkuu kuna siku uliniuliza swali la uchokozi nkakujibu kimafumbo, hayo ndo majibu halisi, dada tunaye aisee. japo sura hana lakini anagawa kuna watu wanamzimikia ati.
JANUARY MAKAMBA AZIDI KUITESA CHADEMA
WAHAHA NA MAGAZETI YAO KUMCHAFUA.
Alianza Mnyika kugawa no zake za simu ili atukanwe
Ndani ya kamati kuu ya CHADEMA wasema ni mtu hatari kwa CHADEMA mwaka 2015 ashughulikiwe mapema.
Wasema ZITO angeweza kushinda nae mwaka 2015 lakini hatakuwa hajafikisha umri wa miaka 40 ambao J M atakuwa na miaka 41,wahofia asilimia zaidi ya 60 ya wapiga kura watakuwa vijana ni rais kwao kumuunga mkono mpiga kura kijana,kuliko babu.
Waandaaa mikakati mingi zaidi,KUMCHAFUA NAPE NA MWIGULU.wasema vijana hao wakiungana,kila aingiae 2015 ataona mwanga.
Mwenyewe J Makamba asema:" watanzania wametuchagua tuwafanyie kazi,hawajatuchagua tuende ikulu,kila kitu kina wakati wake,na Mungu ni mkubwa"
SAUTI YA VIJANA WASEMA:
RAIS WA 2015 HAWEZI KUTOKA NJE YA CCM,WANASUBIRI TU KUKUCHE DODOMA NA JOGOOO LIWIKE,KAMA NI MAKAMBA,AU WEWE.... SUALA NI CCM KURUDI IKULU KUTEKELEZA ILANI NA KUSHINDA VITI VYA UBUNGE ZAIDI YA 80%
Anaongeza JOHN ITANGO
"ona watu hawa walivyo wa ovyo yani hawataki J Makamba asaidie vijana na awe nao karibu, eti anataka urais, wanavyuo wanayofursa yao yakutoa maoni wakai ukifika, na wakati sasa bado, CHADEMA NDIO HAO WANAOMCHAFUA DAIMONDI KWENYE MITANDANO KWAKUWA KAKATAA KUWA MWANACHAMA WAO,WAO KILA MTU ANAEKUBALIAKA AMBAE YUPO CCM WANATAKA KUMCHAFUA TU, HAPA WAMENOA
TUNASEMA CCM HAIJAANZA KUMTAFUTA RAIS, CCM NDIE ITAAMUWA NANI MGOMBEA SAHIHI WA URAIS 2015, JE KAMA ni J Makamba CHADEMA MNAUBAVU WA HOJA WAKUMZUIA,?CCM IKESHA SEMA?"CHEZA NA CCM WEYE JOGOO AKIWIKA"
J MAKAMBA FANYA KAZI ZAKO ZA UNAIBU WAZIRI,... VIJANA WENZAKO TUNAKUONA NA TUNAKUKUBALI, UKIFIKA WAKATI TUTASEMA KAMA MAONI YETU KWA CCM, NA CCM ITAAMUA KWA HEKIMA KAMA ILIVYO KAWAIDA YAKE"
alisikika akisema Mkt huyo wa UMOJA WA VIJA MAKINI DSM (UVMD).
MIMI NASEMA; CHADEMA ACHENI PRESHA CCM HAIJASEMA MGOMBEA WAKE NANI, MAANA NYIE MPO WA4 NA WA 2 WAMESHAJULIKANA, CCM WENYESIFA NI ZAIDI YA 200
HAMTAAACHA KUPATA PRESHA
@Ben Saanane, inatia kichefuchefu kuona watu waaina hiyo ndio wako mstari wa mbele kuwakebehi makamanda wa ukweli wanaojisimamia wenyewe kwa hoja murua na kujitoa kwa ukweli kupigania haki za raia. Hii kama ni kweli,basi sio kuzungumzia Urais tuu ni aibu bali hata huo unaibu waziri au Ubunge sio stahili yake. Nimemdharau sana huyu Mgosi.Comment ya Chakaza.Duh!...Please,Tusimbulie Mwamvita personally but tunataka majibu ya tuhuma from our brother January Makamba.