January Makamba adai kuna mtikisiko wa uchumi nchini

Huku mitaani kuna hali mbaya sana mfumuko wa bei umeshika namba ile sukari tulioaminishwa kwamba itauzwa 1800 kwa sasa naona inazidi kukwea mnazi tu ni 2300+
mkuu hiyo bei ya 1800 ni ya wapi ? mimi ni mikoani ni miaka kumi sasa sukari haijwahi kuwa below 2400 kg
 
Shida ya January Makamba ni kuropoka.

Anashindwa kabisa kuuzuia mdomo wake.
 
swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
.. inawezekana katumwa? Ila kila mtu ni shuhuda wa hali halisi ya inflation & mzunguko duni wa fedha, ambayo kwa vyovyote hatimaye itaathiri hata mapato, n.k.
 
Back
Top Bottom