January Makamba adai kuna mtikisiko wa uchumi nchini

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
19,978
49,061
Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa

swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
 
Kauli ya nitoke vipi hiyo...ndo anajaribu kutikisa aone kama sakata lake limesahaulika au lah.
 
Ni kweli lazima tupitie kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki cha mwaka mzima au hata miwili! Suala la Zbar na mizigo kupungua, mzunguko wa pesa umepotea mijini nchi inakuwa kwenye mkwamo wa kudodorola kwa uchumi! Kosa letu hatukubali kuwa tuna koloni letu ambalo ndio limetufikisha hapa tulipo! Tunaogopa kivuli chetu na kubakia kukimbilia kwenye kufunga mikanda!
 
Huku mitaani kuna hali mbaya sana mfumuko wa bei umeshika namba ile sukari tulioaminishwa kwamba itauzwa 1800 kwa sasa naona inazidi kukwea mnazi tu ni 2300+
 
Uchumi ni kweli unayumba!! Jitihada zisipofanyika tutashindwa kurudi kwenye mstari.
 
Amejisahau akatoa siri za baraza la mawaziri, hapo nae anahitaji kutumbuliwa ila kwa kuwa ni January itakuwa ngumu.
 
Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa

swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
Duuuu ameikumbuka garanosi?
 
Ni kweli lazima tupitie kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki cha mwaka mzima au hata miwili! Suala la Zbar na mizigo kupungua, mzunguko wa pesa umepotea mijini nchi inakuwa kwenye mkwamo wa kudodorola kwa uchumi! Kosa letu hatukubali kuwa tuna koloni letu ambalo ndio limetufikisha hapa tulipo! Tunaogopa kivuli chetu na kubakia kukimbilia kwenye kufunga mikanda!
Tuna adhibiwa kwa sababu tu ya sheenii
 
Back
Top Bottom