January Makamba adai kuna mtikisiko wa uchumi nchini

.. inawezekana katumwa? Ila kila mtu ni shuhuda wa hali halisi ya inflation & mzunguko duni wa fedha, ambayo kwa vyovyote hatimaye itaathiri hata mapato, n.k.
kila mtu anaona hali ilivyombaya huku mitaani lakini jamaa wa TRA kila mwezi wanadai wamekusanya matrilioni ila hatuoni nafuu ya maisha
 
Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa

swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
"Sitatoa nje siri za baraza la mawaziri!"
 
Ni kweli lazima tupitie kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki cha mwaka mzima au hata miwili! Suala la Zbar na mizigo kupungua, mzunguko wa pesa umepotea mijini nchi inakuwa kwenye mkwamo wa kudodorola kwa uchumi! Kosa letu hatukubali kuwa tuna koloni letu ambalo ndio limetufikisha hapa tulipo! Tunaogopa kivuli chetu na kubakia kukimbilia kwenye kufunga mikanda!
hebu rudia tena ulichoanfika oanisha na mada husika
 
kila mtu anaona hali ilivyombaya huku mitaani lakini jamaa wa TRA kila mwezi wanadai wamekusanya matrilioni ila hatuoni nafuu ya maisha
kwa hiyo wew unafikiri zikishaakusamywe huwa zinagawiwa kama peremende
 
Purchasing power has gone down.
This is resulted from poor financial circulation.

What made this to happen? is another question to discuss.

Karibuni wadau.
 
kwa hiyo wew unafikiri zikishaakusamywe huwa zinagawiwa kama peremende
du kama mnakusanya halafu wananchi hawaoni umuhimu wa kukusanya hayo matrilioni ina maana gani,tunataka watoe ruzuku kwa wakulima bei za mazao zishuke,dawa hospitalini ziwepo, mishahara ipande,ndio faida ya makusanyo
 
Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa

swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
Sifaeli masifa huyu kijana. ngoja tuone kama kweli.
 
nilimpa kura yule jamaa anaechukia umaskini..
huyu anaejinadi kua furaha yake ni kuona watanzania wanaishi kama shetani halijawahi kua chaguo langu.
 
sina hakika na hili ila ninachokiona mimi ni MZUNGUKO WA PESA UMEPUNGUA ie. Financial Circulation
sasa mkuu mzunguko wa pesa kupungua kwenye circulation huku bei za bidhaa zikibaki vilevile si ndio tatizo lenyewe la kiuchumi au mwenzetu matatizo ya uchumi ni yapi???
 
du kama mnakusanya halafu wananchi hawaoni umuhimu wa kukusanya hayo matrilioni ina maana gani,tunataka watoe ruzuku kwa wakulima bei za mazao zishuke,dawa hospitalini ziwepo, mishahara ipande,ndio faida ya makusanyo
mkuu kuna watu wanapenda wawe na mahela mengiii alaf wawe wanayatazama tu yani roho zao zinaridhika sanaa
 
mkuu kuna watu wanapenda wawe na mahela mengiii alaf wawe wanayatazama tu yani roho zao zinaridhika sanaa
tabia za wamasai kumiliki mifugo lukuki huna hata kitanda ole wako uibe hata mbuzi wakemmoja anakuua
 
mkuu hiyo bei ya 1800 ni ya wapi ? mimi ni mikoani ni miaka kumi sasa sukari haijwahi kuwa below 2400 kg
Si ndio changa la macho tulilopigwa nalo, na watu wakashangilia kwa ndelemo na vifijo kama kawaida ya wadanganyika
 
Back
Top Bottom