Inaudhi sana yani kuwa na Access TCRA tu inakuwa shida. Aache kabisa. Najua huwa anasoma humu
Mkuu hapo TCRA wala hawahusiki hata kidogo, labda watahusika pindi ukipeleka malalamiko. Hiyo ni SMS broadcasting. Kampuni nyingi tu zinatoa hiyo service na wala si TCRA.Inaudhi sana yani kuwa na Access TCRA tu inakuwa shida. Aache kabisa. Najua huwa anasoma humu
Mkuu hapo TCRA wala hawahusiki hata kidogo, labda watahusika pindi ukipeleka malalamiko. Hiyo ni SMS broadcasting. Kampuni nyingi tu zinatoa hiyo service na wala si TCRA.
Andaa pesa njoo tumshtaki, nitasimamia kesi yako ila uwe na dau la kutosha kushindana nae kisheria, uawezaa????????????