January is loading......!!

January is loading......!!

6eef440082b30a915f28e57265c002a9.jpg
 
Aisee, hapo kachumbari imejaa ndimu,

Nice food
 
Kumbe ndo ulivyoipokea xmas! hongera ndo ukaamua kuvua na miwani! una chembechembe za uchochezi mweshimiwa kasema kwa namna yoyote usiseme vyum.. ka .. za.. we umetumia utenzi!,nafikiri mwalimu wako wa mapishi alikuwa hodari kwa uchochezi si kwa kachumbali hilo lenye kunipa kihoro la tafrija mdomoni!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Alisema kazi yake ni "Kutia kidole tu" akiona mahali inafaa Kutia yeye anatia!! Bunge ndiyo inapitisha sheria na yeye anaweka tu kidole (signature) kwa hiyo usilaumu yeye kuweka kidole mahali yoyote maanna Bunge ndio limesema aweke kidole!! Hahaaaa!what a president!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke kule mombasa
 
Back
Top Bottom