Sure man halina uhusiano kabisa...na janwarBonge la menu hiloo na wala halina undugu na njaa-nuary
Tafuta bakuli ukinge na wewe upate mlenda mweupeUdenda unanimwagika ghafla
Hiyo inaliwa muda wowote na mahali popote. Usiihusishe kabisa na vyuma kutight mwezi ujao.Kwamba ni menu maalum isiyofaa mwezi huo ama?