January Makamba ukimya wake unamaana gani?

January Makamba ukimya wake unamaana gani?

Ukute yuko kwenye mfumo yeye ndio controller wa baadhi ya mambo ila tunamchukulia poa
 
Kamba aliyomfungia mama, ametumbukia mwenyewe nadhani. Maji ya shingo.
Huwaga mnaniudhi sana mnaoanzisha nyuzi za kuwapa promo 'mafisadi nyangumi'.

Alileta nini huyo kwenye uwaziri wake zaidi ya kukwamisha kwa kuhujumu ujenzi wa Nyerere hidro power?

Au uliyeanzisha uzi huu ndiye yosef makamba mwenyewe?
 
Mkuu, mimi nimekoment tu, uzi si wangu huu.
 
Ukimya wa mwanasiasa aiyezoeleka kusikika ni hatar. huyu January atakuja na kishindo kikubwa sana.
Knowing when to quit ni mbinu muhimu ambayo wengi huwashinda na mwisho wanaibika. Naye alichelewa but kukaa kimya ni bora watu wakusahau uendelee na maisha mengine
 
Back
Top Bottom