KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 733
Unatoambwa bandani si bure lwa mapovu haya!!Watapimwa kwa dharau zao. Hata libaba lake linajua limesomesha litundu lisu lakini halijastarabika.
Unatoambwa bandani si bure lwa mapovu haya!!Watapimwa kwa dharau zao. Hata libaba lake linajua limesomesha litundu lisu lakini halijastarabika.
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Acha aseme hivyo. Ukweli CCM wanaudhi sana hasa wanapotaka kuteka kwa wazi mchakato wa katiba na huku tayari tumejua ile wanayotaka inafananaje! Hawatutakii mema Watanzania!!Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
sasa hapo kuna tusi? wewe uliona wapi lissu akiwaita ccm? yeye utumia maccm hata mie nawaita maccm hakuna kosa hapok
Siasa za chuki ni aina ya ushamba...
Hivi lini Mkuu uliwahi kufurahishwa na kauli ya kamanda Lissu!?
kama wewe ni liccm lazima usikitishwe.ulitaka mpewe hashima wakati utawala wenu unadhalilisha watanzania?
Pole sana, kama matusi ya wabunge wa utawala wanavyorusha matus dhid upande mwingine na huyaoni badala yake neno ma ccm ndo limekufanya uzime redio. Na kwa hali hiyo utoe kabisa betri kwenye redio ili ubaki hivyohivyo ulivyo
labda atakoa kura yako tu!Dung'unyi tumemchoka Tundu Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.