Sina ubishi na wewe Gaga ni kweli kabisa ktk wanawake 100 ni 2 tu ndio wanao weza kuexperience multiorgasm kwa nini? sababu kubwa ni sisi wanaume, kwanza wengi hatujijui sisi wenyewe, yaani hata zakali zetu hatuzijui vizuri ingawaje tunazo toka kuzaliwa, pili hatujui female anatomy ili ni tatizo kubwa hata kujua ni sehemu gani ni sensitive kwa mwanamke hatujui, kila mwanaume anadhani maziwa na tunda ndio maeneo ya kukimbilia kuyashika ktk game wakati hilo ni kosa la kiufundi, kuna technic za kunyonya breast na cha muhimu chuchu ni kitu cha mwisho kabisa lakini asilimia 90% ya wanaume wanaanza na chuchu. ASEMACHO ALLIEN kinaukweli asilimia 100% maana kuna tofauti kati ya ejaculation na orgasm hata mwanaume anaweza kutofautisha ejaculation na orgasm thats why kuna wanaume wanakuambia nimeunganisha mabao mawili au matatu bila kukatiza tendo, suala hili lahitaji mafunzo na mazoezi. zoezi rahisi kwa wanawake na wanaume ni kuimarisha misuli ya kegel. kingine kuna mazoezi ya jinsi ya kupumua how to breath in and out ktk tendo. kuna mambo mengi sana ya kufanya, jaribu kuonana na wahaya/waganda au watusi wakikupa mbinu ya kachabali/katerero au kunyanza ukaimaster halafu ukajua kucheza na Gspot wakati huo jogoo yupo imara baada ya mazoezi ya kegel na uwezo wako wa kupumua vizuri kwa baada ya mazoezi ya tai chi. Na mwanamke uwe mmezoeana hakuna suala la kuoneana haya yupo free kwako nawe upo free kwake ku come mara 10 for 30mins inawezekana kabisa.