Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

wewe sikuwezi,ungekuwa mpole kidogo......:wink2:.........:hand:..........:rain:

Jamani Madame Mich; unanigeuzia kibao wakati mwenyewe ndo ulinipotezea?

Mimi siyo mkali bana . . .

Adolf Hitler alikuwa mkali na mbabe wa kivita. dunia ilimgwaya . . . lakini home mbele ya Mrs alikuwa kama mtoto vile . . .

Ukipenda naweza kuwa mpangaji wa kudumu . . . ndani ya moyo wako . . . LOL

Respect Madamme!
 
Demu ku piz ni mpaka awe anakukubali sana vinginevyo mtakuwa mnapigishana tizi tu. Take my word!
 
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

Wadau wa malavidavi mpooooooo?
Hapa usugu ndio tatizo mkuu,
 
Tatizo kuu kwa wanawake wengi kuwa wasiri yani kusema ukweli kwamba style fulani ndio inanibamba sana au nikishikwa sehemu fulani najiisi raha sana ama nikitmbw kwa nguvu uwa nainjoy sana ama talatibu ndiyo najisikia raha sana,lakini wengi wao awasemi staree yake ipo wapi au afanyiwe nn,matokeo yake anakufa kingereza na tai shingoni mwaka mzima ajawai kufika kileleni.
 
Basi huyu bidada ana raha maana juzi ndo tumezindua albamu duu niliona kuna muda alipoteza kabisa baada ya kumgusa sehemu 3 kwa pamoja huku dushe limezana Leo et natafuta muda nije.
Jamani wapeni haswaa hawa watu
 
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

Wadau wa malavidavi mpooooooo?
Hiyo ni upande mmoja..Upande wa pili wanaume nao wanakua na haraka ya kula tunda kabla hata mwenzie hajalainika na kuwa tayari kwa tendo. Mwanamke ukimuandaa vizuri lazima afike tu. Sasa unakuta vijana wa kiume chips yai kabla hata hajaanza game kashamaliza unategemea mpenziwe afike kweli.
Wanawake wanahitaji utulivu na kuwaandaa vizuri kabla ya kuingiza dushe. Dushe ni kumalizia utamu tu.
 
Maskini wengine hata hawajuagi kama kuna kufika kileleni.
Wao wanakutengea tu wanasubiri umalize msepe.
 
Back
Top Bottom