Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

Nafikiri hujanielewa Allien kufika tunafika ila sio kama unavyosema mara kumi for 30 mnts hii haipo pampja na vithibitishi vyako hivyo tupige kura humu nani kaexperience kitu cha namna hiyo. Unaweza ukawa unacome kila tendo na unaridhika hivyohivyo. na siku ingine ukabahatika mara tatu siku nyingine ukakosa kabisa. pamoja na evidence yako sasa tuje kinadharia zaidi nani humu jf kapata kitu kama hicho???????? wanawake tu naomba wanijibu, nani hajawahi kufake orgasm??????? nijibuni. hao maresercher wenyewe wanaweza wakapigwa changa la macho wakati wanafanya research zao
 
inawezekana ku-come mara tatu katika 30 sec. (mie mme nina uzoefu) isipokuwa nashindwa kuelewa kwa nini akina dada wanaumia usipowafikisha kileleni (wengine wanafikia hatua ya kukusukuma kwa hasira) hasa engine inapozimika ghafla baada ya ku-ejeculate.:)
 
Gaga, unaweza wewe ukawa fundi sana wa mambo ya sex sisi hatukatai. Tunachosema ni kwamba better sex is not a Sex Intercourse. It is a function of Mind; Soul; Spirit; Love and physical being. Kina dada wengi wanakimbilia kuwaridhisha wapenzi wao tu.

Umepewa data na umeambiwa mazingira gani yanafaa. Mimi binafsi sihitaji research kwa kuwa najua mwenzi wangu anaridhika sana na wala ha-fake. She can do more than hiyo 10 uliyoisema tena within only few minutes. She once counted herselves and it is amazing. Siwezi kudisclose figure kwa kuwa no one will believe. Faking in fact ipo kwa wanawake wengi kwa asilimia kubwa. lakini for whose benefits?

Mutiple Orgaasm haitokani na ufundi wa wanawake bali wa Wanaume. so ask yourself can your man give u a quality dose or a quantity dose or both?

Angalia huyu jamaa anaavyosema:

These are just some of the irresistible sex secrets I use regularly to give women an average of FIVE to TEN orgasms an hour (my record is actually much higher) but for the average woman, giving her five to ten orgasms in just one hour will make you king in her eyes, have her begging you for more and more sex every single day, cause her to do anything she can to please you in every conceivable way and make you feel like an unstoppable sex god in the process!

Source: http://www.singlescafe.net/multiple-orgasms.html

Tell me how your guy is doing kabla hujaitisha research. I gave you the professional research facts.
 
Duh Allien na mimi ni bingwa wa kucome huwa mpaka yyale ya kuruka ila hii ya kwako sijawahi sikia hata kwa makungwi, sorry ila mwanamke anawza akasema amecome mara kumi kumbe ni mara mbili tu, kwa hili namuunga mkono gaga. hii ni sie tunaweza jua labda tusikie na wengine. mimi nachojua hata nikifika mara moja naridhika na wakati mwingine mara tatu kwa tendo ila ni nadra sio mara kwa mara,na ninaweza kufake kama siku sijisikii kufanya mapenzi. na mwanaume akajua nimecome. Tena siku hiyo ndio nitascream mpaka majirani watasikia kumbe ni fix. unayosema mengine yanawezekana na mengine ni big no.kama hiyo mara kumi kwa 30 mnts? embu ngoja tusubiri. wapi madam t, lizz, michelle. rose ,shosti, pauline,not enough, suzy na wengine embu nitoeni tongo
 
mtu akionyesha hana experience wazi namna hio,unauchuna!!!lol...10 times??????? ni obvious hajui analosema, acheni kutudanganya jamani....:twitch::twitch:
 
Wacheni kuku na mayai ya kisasa yatawamaliza hayo, si waporini tunapiga vitu natural magari yanapanda milimani kama ma V8 vile
 
JF shule kwa kweli,tell them......:coffee:

Nakuambieni pamoja na watu wengi kusoma na kuvielewa Allien alivyoandika ni vigumu mno kuvi practice haswa baada ya kuoa. Mara nyingi tunakuwa wataalam wa kuelezea jinsi ya kumfanya mke afurahie tendo la ndoa kwenye makaratasi tu. Hata huyu aliyetoa very good advice na aliyesoma sana vitabu akapata every knowledge asijivune kuwa mtaalamu. Ukitaka kujua wewe ni mtaalamu au sivyo oa kwanza then practice unachokijua tuone kama utakifanyia kazi zaid ya miaka miwili.

Wanandoa wana haraka sana ya kufanya sex kwani wakishazaa wengi hawataki kupoteza muda wanapotaka kufanya sex bali hutumia less than 10 minutes kufanya fore play then anaingia mjengoni. Na hii si makusudi kwani wengi wanataka wawahi kulala ili kesho waamke very early kuwahi kazini. ni very few marriage zinatumia muda mwingi kuhakikisha sex inakuwa sex.
Ninahisi wengi wanaojidai wataalamu huku hawajaoa ni vijana tu wamezoea kufanya na temporary friends. Lakini mkishazoeana katika ndoa ni vigumu kuzingatia kila kitu zaidi ya ku make sure (if you care) kuwa mkeo anafika kileleni kabla yako ili umalize wa mwisho kiulaini kabisa.
 
Wacheni kuku na mayai ya kisasa yatawamaliza hayo, si waporini tunapiga vitu natural magari yanapanda milimani kama ma V8 vile

Hahahahahahaha lo mfarisayo kwa hiyo twala sana kuku wa kisasa eeee. nimechekaje
 
LOL . . . . .

I wish vitu hivi vingeruhusiwa kufanya demo ili kumaliza ubishi . . . LOL

It is not about WOMEN, I am saying again, it is about your MEN to make u have Multiple Orgasms. It is about Soul; Spoirit; heart; physique; experience; techniques; Ooooops!!!! Kigumu kuelewa ni nini?

Tunawapa facts bado hamtaki. Sasa mtuambie tufanyaje? Basi ngoja nikubali yaishe. LOL
 
Gaga, unaweza wewe ukawa fundi sana wa mambo ya sex sisi hatukatai. Tunachosema ni kwamba better sex is not a Sex Intercourse. It is a function of Mind; Soul; Spirit; Love and physical being. Kina dada wengi wanakimbilia kuwaridhisha wapenzi wao tu.

Umepewa data na umeambiwa mazingira gani yanafaa. Mimi binafsi sihitaji research kwa kuwa najua mwenzi wangu anaridhika sana na wala ha-fake. She can do more than hiyo 10 uliyoisema tena within only few minutes. She once counted herselves and it is amazing. Siwezi kudisclose figure kwa kuwa no one will believe. Faking in fact ipo kwa wanawake wengi kwa asilimia kubwa. lakini for whose benefits?

Mutiple Orgaasm haitokani na ufundi wa wanawake bali wa Wanaume. so ask yourself can your man give u a quality dose or a quantity dose or both?

Angalia huyu jamaa anaavyosema:

These are just some of the irresistible sex secrets I use regularly to give women an average of FIVE to TEN orgasms an hour (my record is actually much higher) but for the average woman, giving her five to ten orgasms in just one hour will make you king in her eyes, have her begging you for more and more sex every single day, cause her to do anything she can to please you in every conceivable way and make you feel like an unstoppable sex god in the process!

Source: http://www.singlescafe.net/multiple-orgasms.html

Tell me how your guy is doing kabla hujaitisha research. I gave you the professional research facts.

Allien brother, hizi nazopata moja wakati mwingine mbili mpaka tatu zinanitosha sana na nafikiri ni zaidi ya enough, kwa anavyofanya yeye ni kuhakikisha tu napata raha na sasa hivi ni zaidi ya raha cause tunafanya oral tu sababu ya problems zetu so namiss penetration tu lakini napata raha nacome vizuri tu ila hii ya mara kumi halafu ushahidi wako ni wewe unasema sio mwanamke wako na huyo jamaa pia ni yeye anasema sio partner wake.
 
Duh Allien na mimi ni bingwa wa kucome huwa mpaka yyale ya kuruka ila hii ya kwako sijawahi sikia hata kwa makungwi, sorry ila mwanamke anawza akasema amecome mara kumi kumbe ni mara mbili tu, kwa hili namuunga mkono gaga. hii ni sie tunaweza jua labda tusikie na wengine. mimi nachojua hata nikifika mara moja naridhika na wakati mwingine mara tatu kwa tendo ila ni nadra sio mara kwa mara,na ninaweza kufake kama siku sijisikii kufanya mapenzi. na mwanaume akajua nimecome. Tena siku hiyo ndio nitascream mpaka majirani watasikia kumbe ni fix. unayosema mengine yanawezekana na mengine ni big no.kama hiyo mara kumi kwa 30 mnts? embu ngoja tusubiri. wapi madam t, lizz, michelle. rose ,shosti, pauline,not enough, suzy na wengine embu nitoeni tongo

Mimi nakubaliana na wewe kabisa,in short mimi not more than once,kwanza sipendi sex more than once per day....sasa sielewi hao wanafanya mara ngapi kufika climax mara zote hizo in a day!!! aiseee Shantel,we differ sana ndo nilichogundua!!!
 
Nakuambieni pamoja na watu wengi kusoma na kuvielewa Allien alivyoandika ni vigumu mno kuvi practice haswa baada ya kuoa. Mara nyingi tunakuwa wataalam wa kuelezea jinsi ya kumfanya mke afurahie tendo la ndoa kwenye makaratasi tu. Hata huyu aliyetoa very good advice na aliyesoma sana vitabu akapata every knowledge asijivune kuwa mtaalamu. Ukitaka kujua wewe ni mtaalamu au sivyo oa kwanza then practice unachokijua tuone kama utakifanyia kazi zaid ya miaka miwili.

Wanandoa wana haraka sana ya kufanya sex kwani wakishazaa wengi hawataki kupoteza muda wanapotaka kufanya sex bali hutumia less than 10 minutes kufanya fore play then anaingia mjengoni. Na hii si makusudi kwani wengi wanataka wawahi kulala ili kesho waamke very early kuwahi kazini. ni very few marriage zinatumia muda mwingi kuhakikisha sex inakuwa sex.
Ninahisi wengi wanaojidai wataalamu huku hawajaoa ni vijana tu wamezoea kufanya na temporary friends. Lakini mkishazoeana katika ndoa ni vigumu kuzingatia kila kitu zaidi ya ku make sure (if you care) kuwa mkeo anafika kileleni kabla yako ili umalize wa mwisho kiulaini kabisa.

Makes a lot of sense. Respect Mkuu.

It is possible as u said. the difficult is how to do it. Kila ushauri umeshatolewa.

Statistics are based on reasearch of PRACTISE also and not theory too.

Respect.
 
inawezekana ku-come mara tatu katika 30 sec. (mie mme nina uzoefu) isipokuwa nashindwa kuelewa kwa nini akina dada wanaumia usipowafikisha kileleni (wengine wanafikia hatua ya kukusukuma kwa hasira) hasa engine inapozimika ghafla baada ya ku-ejeculate.:)

Atleast hii but not ten times for 30 mnts. kufika ni muhimu na asipofika ananunaje?
 
Allien brother, hizi nazopata moja wakati mwingine mbili mpaka tatu zinanitosha sana na nafikiri ni zaidi ya enough, kwa anavyofanya yeye ni kuhakikisha tu napata raha na sasa hivi ni zaidi ya raha cause tunafanya oral tu sababu ya problems zetu so namiss penetration tu lakini napata raha nacome vizuri tu ila hii ya mara kumi halafu ushahidi wako ni wewe unasema sio mwanamke wako na huyo jamaa pia ni yeye anasema sio partner wake.

Gaga; Respect sana. Sasa tuko paje moja na nimekuelewa.

Kama anayetaka kupata Multiple Orgasm ni Mrs basi ni juu ya Mr kuandaa mazingira ya kumwezesha kuachieve. Mama akikubaliana na mazingira, then CHEZO linakubali. Of course technics za Mr. pia zinasaidia.

Also, do not understimate the power of Gspot. It is amazing!
 
Mimi nakubaliana na wewe kabisa,in short mimi not more than once,kwanza sipendi sex more than once per day....sasa sielewi hao wanafanya mara ngapi kufika climax mara zote hizo in a day!!! aiseee Shantel,we differ sana ndo nilichogundua!!!

Madame Michelle; nashukuru ladies sasa mnaopen-up " Kwanza sipendi sex" . . . u see its not about you. Ukiwa handled well katika mazingira yaliyotajwa, wala hutaulizwa . . in fact wewe mwenyewe utasikia una demand. Just take time.

Respect sana Madame Mich.
 
Atleast hii but not ten times for 30 mnts. kufika ni muhimu na asipofika ananunaje?

Wewe Gaga wewe, nitakuchapa sasa . . .

Kaandika mara 3 in 30 seconds. Maana yake mara 6 in One Minute, Au Mara 60 in 10 Minutes. Which is too exaggerated and not true. Sasa wewe ndo unaunga mkono . . . LOL basi uko juu!
 
Madame Michelle; nashukuru ladies sasa mnaopen-up " Kwanza sipendi sex" . . . u see its not about you. Ukiwa handled well katika mazingira yaliyotajwa, wala hutaulizwa . . in fact wewe mwenyewe utasikia una demand. Just take time.

Respect sana Madame Mich.

when i get married,i will enjoy.....sasa kwanza ni dhambi,pili sijui nachukuliwaje,nimeamua kuachana na hayo mambo hadi niolewe.....!!!!
 
Now you are talking . . . . so then at least u know the reasons.

We pray that you find a perfect one . . . Ooops in fact u already have one.

Usisahau kunipitishia kadi ya mchango nwa harusi. LOL
 
I know the reasons,its all about GOD,unajua kuna misingi fulani ukikulia,haikutoki na ukienda kinyume unakosa raha sana,mi waga nashindwa hata kuomba,na ile kutubu then kurudia ndo kabisaaa inaninyima amani na Mungu wangu......naona kama nampa nafasi ya Mungu mwanaume ambaye siujui moyo wake na kesho aweza asiwepo nami tena.....its pschological with me.....it has never bn easy kwakweli......

Kadi ya harusi nitakupitishia,niombee kwanza awepo huyo mume mtarajiwa,manake bf si mume......L.O.L
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom