Well..haveing read all posts in this thread, nimeona kuna tatizo la kuoanisha tamaduni mbili..za kikwetu na za wenzetu wazungu
Research nyingi ambazo umepresent findings zake hapa zimefanywa kwa wazungu, na wazungu ijapokuwa anatomically wako sawa na wanawake wa kiafrika, tunapokuja suala la culture tunatofautiana sana, hasa kuhusu percepetions kuhusu mapenzi na ngono, dini, mapenzi kabla ya ndoa, nje ya ndoa nk
Kwangu mimi hizo ni barriers ambazo zinaweza kumfanya mwanamke wa kiafrika kuona kuwa kupata orgasm zaidi ya mara 3 kwa tendo moja kuwa ni ndoto
Ila niharakishe kusema kwamba hili linawezekana 'from my own experience', na pia wanawake wakubali the 'fact' kwamba hata kwa waaafrika wenyewe (within groups) kuna variance kubwa sana sana.
Ni hayo tu kwa sasa