Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 16, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

  Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

  Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

  Wadau wa malavidavi mpooooooo?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Eehh tena mie nikimpata mpya ndo nafika mapemaaa sasa sijui hao wanaochelewa au kutofika kabisa nashangaa
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhhh haya!!!!
   
 4. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mh.aya
   
 5. MIAMIA.

  MIAMIA. JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asee our comment zmegota pa1 at same tm and same feelings@michelle
  yaezekana miguno io ndio j...........u usika lenyewe.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Huo uchunguzi umeufanyia nchi gani?, mkoa gani?. Kwa tanzania wanawake wa dar ndo hodari kwa kutofika kileleni: but why? , baba ana amka saa 10.30 kwenda job, anarudi saa 4, ana lala saa 6, muda wa game ni saa 6 mpaka 7 ili baba awahi kuamka saa 10.30. Soo no time for prepation, rest and so on..................................
   
 7. V

  Vumbi Senior Member

  #7
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ili mwanamke aweze kufika kileleni lazima awe ameandaliwa kisaikolojia kabla ya kufanya hilo tendo. Mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumuandaa mwanamke huyo, anawajibu wa kumhakikishia kuwa anachokitegemea ndani ya hayo mahusiano ni kweli na bayana ili asiwe na hofu kuwa unamdanganya au unamtumia then baada ya hapo wewe unashika ustarabu wako. Kumbuka kujamiiayana ni kitu chenye thamani kubwa kwa mwanamke,ni sawa na kutoa utu wake kwako, kwahiyo kama bado hajiami na hayo uliyo muahidi mawazo yake hayatokuwa kwenye hilo tendo bali atakuwa anawaza madhara endapo hutotimiza uliyo muahidi. Kwahiyo wanawake kutofika kileleni wanaume tunaweza kuwa tunachangia kwa kiasi kikubwa kwasababu wengi wetu tunawadanganya mambo ambayo ndani ya mioyo yetu hayapo kabisa.
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sijui lkn wa kwangu anafika!
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Vumbi umeongea ukweli.
  Ukiachana na wadada wanaojamiiana kwa sababu ya pesa, wanawake wengi hili tendo ni muhimu sana kwetu. na kama hujamzoea huyo mwanaume, naweza kusema hili tendo ni la aibu. sasa kama unafanya kitu ukiwa una aibu, sidhani kama unaweza ukawa free kiasi cha kufurahia kitu unachokifanya. kutokufika kileleni kwa mahusiano machanga, kwa mtazamo wangu, naona ni kawaida tu
   
 10. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  You are great thinker - TUKO after MKWERE
   
 11. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sababu nyingine kwa wanawake kutofika kileleni in female genital mutilation (fgm). Juhudi za ziada zinatakiwa kumfikisha kileleni mwanamke aliyefanyiwa hivi. Lkn inategemea extent ya fgm iliyofanywa. Kwa mfano Wagogo fgm yao ni radical, yaani linabaki shimo tu. Hawa ndo kabisa hawafiki, labda mwanaume awe na jogoo mkubwa na mrefu na pia ajue kuutumia ipasavyo ndo mwanamke atafika. Mwanamke wa kigogo akimpata mwanaume anayemfikisha kileleni hamwachi kirahisi. Imewahi kunitokea. Warangi wao fgm siyo radical, labia majora na remnant ya clitoris hubakia. Hawa wanafika kileleni kirahisi, and they are very sexy!

  My opinion, pls!!!! I hope nobody will be annoyed.
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mmmmhhhhh,haya bwana!!!
   
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Not necessarily true.

  Its about sex techniques and know more about your partners body and sensitive parts.

  Sex is not about intercourse only . . . it combines the mind, soul, spirit and the physical being.

  Men has roles to play. Having a woman cumming even more than 10 times in 30 minutes intercourse is normal for experienced top of the line lovers.

  If your partner also enjoys sex, never be suprised she can hit even > 30 times.

  Wengine tunaogopa hata kusema the best number of times can cum, tunaweza kuambiwa waongo. Read read read and understand your partner.

  A.
   
 14. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Supported and well written!
   
 15. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Well written, also:

  Study your partner as much as u can and understand her most sensitive parts. There are people are able to make their spouses me/women cum out even on phone leave aside physical sex. So guys learn how to:

  1. Use your voice to motivate your partner to cum

  2. Allocate her G-Spot hapo ni mwisho wa maarifa. she can cum like a pipe of water. ubeliavable.

  3. Locate other sensitive parts like breasts, earlobes, inner hips, massaging etc etc etc

  4. Dont go in yet until your partner has caught up the maximum heat . . .
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ok,ntajaribu nikioa
   
 17. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  mmh huu ni uchunguzi kweli, a reseach right?
   
 18. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  ur avatar now looks very nice,cool and pleasant than the past
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  JF shule kwa kweli,tell them......:coffee:
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Ubarikiwe na Mungu!!
   
Loading...