Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

Janga la kitaifa: Wanawake wengi hawafiki

when i get married,i will enjoy.....sasa kwanza ni dhambi,pili sijui nachukuliwaje,nimeamua kuachana na hayo mambo hadi niolewe.....!!!!

Hongera kwa uamuzi mzuri. Mungu akujalie upata MUME bora
 
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya, lakini nimegungua kuwa tatizo kubwa ni kwao wenyewe, hasa wengi wanakuwa wanajijengea stress wakati wa ngono. Hali hii imewafanya wanawake wengi, hasa wanaoanza mapenzi kukosa ladha na wengine kutokuona umuhimu wa kufanya ila kwa kumridhisha mwanaume.

Lakini, kauchunguzi kangu kamenionyesha kuwa tatizo la wanawake kutokufika kileleni lipo sana kwa ndoa changa au mahusiano machanga. Inaoenelana kuwa, wakati mwanaume anaweza kupata full utamu kwa mwanamke ambaye wamekutana hata kwa mara ya kwanza, kwa wanawake wengi ni tofauti (najaribu kutafuta sababu za kisayansi). Wanawake wengi hufikishwa kileleni na wanaume waliowazoea, na ambao wameshafanya nao mapenzi mara kadhaa.

Hali hii ndiyo inayosababisha kwa wanawake wengi wanapoolewa, au wanapopata wapenzi wapya, wanashawishika kirahisi na wapenzi wao wa zamani, wakidhani kuwa walikuwa na maujuzi zaidi. Pia inasababisha baadhi ya wanawake hawatulii na mwanaume mmoja wakitafuta wa kuwafikisha, kwa kudhani kuwa umbile au saizi ya u.ume ina matter, au haiba au kitu kingine.

Wadau wa malavidavi mpooooooo?

Ili mwanamke aweze kufika kileleni lazima awe ameandaliwa kisaikolojia kabla ya kufanya hilo tendo. Mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kumuandaa mwanamke huyo, anawajibu wa kumhakikishia kuwa anachokitegemea ndani ya hayo mahusiano ni kweli na bayana ili asiwe na hofu kuwa unamdanganya au unamtumia then baada ya hapo wewe unashika ustarabu wako. Kumbuka kujamiiayana ni kitu chenye thamani kubwa kwa mwanamke,ni sawa na kutoa utu wake kwako, kwahiyo kama bado hajiami na hayo uliyo muahidi mawazo yake hayatokuwa kwenye hilo tendo bali atakuwa anawaza madhara endapo hutotimiza uliyo muahidi. Kwahiyo wanawake kutofika kileleni wanaume tunaweza kuwa tunachangia kwa kiasi kikubwa kwasababu wengi wetu tunawadanganya mambo ambayo ndani ya mioyo yetu hayapo kabisa.

I like this kind of answering.
Point with a point
Hapa hata mimi nimejifunza mengi sana kuhusu Ladies
:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:
 
I like this kind of answering.
Point with a point
Hapa hata mimi nimejifunza mengi sana kuhusu Ladies
:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:

:wink2::wink2::wink2::hand::hand::hand:
 
Hii dhambi ya kuwatupia wanaume kila mzigo itaisha lini? Kwani bila mwanaume mwanamke hawezi kuwa na hamu ya kijamiiana? ini hasa kinachomfanya mwanamke asiwe na hamu ya ngono? Mbona huwa inafika wakati mwanamke akaonyesha dalili za wazi za kumtaka mwanaume kingono? Wasijilegeze kiivyo kiasi cha kusubiri kuchajiwa. Eti nyie wanawake mmekuwa mabetri hadi mchajiwe? Hisia za mwanamke anazo yeye mwenyewe.

Laumu mfumo mzima wa malezi kufuatana na desturi na mila na hata imani za kidini. Wanawake wanatakiwa kuwa passive wakati wanaume wanategemewa wawe aggressive kwenye jambo hili.
NI pale jamii itakapobadilika ndio utaona hicho unachotaka kukiona kwa wanawake.
 
Adha ya mabomu ya gongo la mboto aijuaye ni mkazi wa maeneo hayo cause anahusika ila kuna wengine wataenda kuchukua misaada ya chakula na pesa na maturubai kwa wasamaria hata kama nyumba zao hazijaguswa na mabomu. Ndivyo hivihivi na kwenye mada hii aujuae ukweli ni mwanamke mwenyewe hapa si mtu wa research ambae ni mwanamme au nani.
 
Mkuu Tuko;

I do not necessarily agree with your analysis and conclusions for the following reasons:

  1. Huu haukuwa utafiti ambao ulitaka upate facts fulani bali mjadala. Kama ulitaka uwe utafiti, ulitakiwa ufuate scientific principle. Ungweza walau kufanye vema kwa kuitisha POLLS ya categories mbalimbali kutoka JF. Bado pia u must have a significant sample.
  2. Si, kila mchangiaji katika post ame-decrare mambo ya kufika kileleni au la.
  3. Hata utafiti wako unaodai kufanya kwenye post kuu ya thread hii hauna supporting arguments au facts zozote na bado unalazimisha conclusion iende huko huko unakotaka.
  4. Kufika kileleni au la inategemea mambo mengi. Lawama nyingi ziwaendee wanaume kuliko wanawake ingawa wanayo sehemu nao. This is a hard fact to swallow.
  5. One of your statement: Kutokana na sababu hizi, na nyingine nyingi zilizochangiwa kwenye topic hii, ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa wanawake wengi hawafiki kileleni wanapokutana na wapenzi wapya haina ukweli wowote wala supporting facts.
  6. Find out more with honest heart utagundua. Experience yako binafsi inaweza kuwa si experience ya Wanaume wote. In my case nikikwambia kuwa Wapenzi wangu wote wa miaka ya nyuma wanahit a minimum ya 3 times utaamini? Hata kama kweli je, nilazimishe kuwa wanawake wote wanafika kileleni zaidi ya mara 3? Wengine cases zao ni kuwa kwa kiasi fulani wapenzi wapya in both sexes ndiyo wanafanya vizuri kuliko wapenzi wao wa muda mrefu.
Please do your analysis and your homework well.

Respect.

Allien.

Mkuu Allien ninarespect sana mawazo yako, lakini kumbuka wewe, arguments zako mostly zina-base kwenye experience yako, tofauti na za kwangu ambazo zina-base stor ninazockia kwa watu, including wewe. Unajua zipo research za aina tofauti. Fikiria descriptive research ambayo unaweza kupublish data kutoka kwa watu hata wawili. Jaribu kuangalia papers ambazo ziko published kwenye 'nature' (one of the most reputable scientific journals in the world), nyingine zimebase kwenye mawazo ya mtu, bila experiment au observation au interview yeyote.

Anyway, najua hii haiwezi hata kukaribia kuitwa scientific research, nimejaribu tu kuipamba kwa kuiweka kama research fulani,... ila kwa kijiweni kama hapa, hii ni bonge la discussion, sio mkuu?... lol
 
umetoka kazini umechoka na stress za kazi, traffic, ndugu etc, then unarudi home unategemea mamaa akuliwaze eti tena mimi ndio nitumie juhudi za kuanza kulichaji hilo betri lake? That's so selfish!!
Wengine ukiwauliza ok basi wapi ama nini nifanye ili hiyo btetri ichaji upesi utasikia oooh ni kazi yako kuwa mbunifu na sikwambii.!! This is bull crap!! ndio maana tusio na simile tukikasirishwa basi wazee wa express tunaishia strip club kujiliwaza
Nako kwenye vimada ama nyumba ndogo yaani wenyewe ukigusa tu anacum hadi anataka kupoteza fahamu na godoro linalowa maji. Ndio maana wanawake wenye akili hawajivungi
 
unanizingua sana mchizi wangu,sio fair kabisa halafu kufika hunifikishi,muone kwanza.....l.o.l:rain:

Duh! bado utafiti huu utazua mambo? Sasa hapo ni kosa la nani sijui . . . LOL
 
Mkuu Allien ninarespect sana mawazo yako, lakini kumbuka wewe, arguments zako mostly zina-base kwenye experience yako, tofauti na za kwangu ambazo zina-base stor ninazockia kwa watu, including wewe. Unajua zipo research za aina tofauti. Fikiria descriptive research ambayo unaweza kupublish data kutoka kwa watu hata wawili. Jaribu kuangalia papers ambazo ziko published kwenye 'nature' (one of the most reputable scientific journals in the world), nyingine zimebase kwenye mawazo ya mtu, bila experiment au observation au interview yeyote.

Anyway, najua hii haiwezi hata kukaribia kuitwa scientific research, nimejaribu tu kuipamba kwa kuiweka kama research fulani,... ila kwa kijiweni kama hapa, hii ni bonge la discussion, sio mkuu?... lol

Mkuu Tuko;

Honestly hapa kuna shida. Umeanzisha thread halafu hufuatilii post na conclusion yako haiendani na michango.

Sijasema research facts zinabsae katika experience yangu binafsi. Nimejaribu kutoa facts za kiutafiti katika posts numbe: 45; 46; 52 and 53. Hizi facts si zangu. Ni za kiutafiti na ziko nyingi sana zingine. Zote zinashabihiana. So arguments zako bado haziko clear za kufunga mjadala. Unless kama unaniambia hujapitia michango ya wadau hapa.

Respect.

A.
 
umetoka kazini umechoka na stress za kazi, traffic, ndugu etc, then unarudi home unategemea mamaa akuliwaze eti tena mimi ndio nitumie juhudi za kuanza kulichaji hilo betri lake? That's so selfish!!
Wengine ukiwauliza ok basi wapi ama nini nifanye ili hiyo btetri ichaji upesi utasikia oooh ni kazi yako kuwa mbunifu na sikwambii.!! This is bull crap!! ndio maana tusio na simile tukikasirishwa basi wazee wa express tunaishia strip club kujiliwaza
Nako kwenye vimada ama nyumba ndogo yaani wenyewe ukigusa tu anacum hadi anataka kupoteza fahamu na godoro linalowa maji. Ndio maana wanawake wenye akili hawajivungi

Mkuu . . . SA . . . LOL Acha hiyo, haifai Mkuu. Soma ile Post ya Jinsi ya Kuacha Cheating.

Karibu Private Intelligence Club utajua ni jinsi gani rahisi kuacha na kumfanya wako wa halali aweze yote.

Respect

A.
 
letu sote....l.o.l

Lahaula lakwata . . . ! Bora sasa muanzi upya . . . . Sasa mimi ndo inakuwaje; ndo maana nilisema maji marefu . . .

Umeona eeehh . . . . we acha tu . . . LOL
 
Ubarikiwe na Mungu!!

Ni kweli wabarikiwe Michelle wetu maana wametoa somo muhimu sana...Jamaa yangu mmoja anasema wakati yeye yupo busy na swala la tendo la ndoa mpenzi wake yupo busy anabofya simu anaandika msg na kuongea na mashoga zake sijui hata wazo na hisia ya kitu mzee wake anakifanya hana habari naye.Hadi jamaa yangu anatoka mitamboni mpenzi wake anabaki kwenye position ile ile akiendelea na shughuli zake za kubofya simu...!!!!Jamani mambo ya kitandani yanahitaji kuwajibika na kuandaana.Pia ukubwa wa jogoo sio hoja,hoja ni namna ya kutumia jogoo ulie nae..na zoezi la kutumia jogoo ni jambo la mwisho kabisa...mambo ya muhimu yanatangulia kabla jogoo hajawika.ASANTENI.
 
Kweli kuna watu wana dharau,uko kwenye tendo unaongea na shoga zako? si umuache tu huyo mwanaume aishi maisha yake....anyway,ndo hivyo,dunia ina mengi Nick....tuombeane tu!!!
 
Lahaula lakwata . . . ! Bora sasa muanzi upya . . . . Sasa mimi ndo inakuwaje; ndo maana nilisema maji marefu . . .

Umeona eeehh . . . . we acha tu . . . LOL

wewe sikuwezi,ungekuwa mpole kidogo......:wink2:.........:hand:..........:rain:
 
Ni kweli wabarikiwe Michelle wetu maana wametoa somo muhimu sana...Jamaa yangu mmoja anasema wakati yeye yupo busy na swala la tendo la ndoa mpenzi wake yupo busy anabofya simu anaandika msg na kuongea na mashoga zake sijui hata wazo na hisia ya kitu mzee wake anakifanya hana habari naye.Hadi jamaa yangu anatoka mitamboni mpenzi wake anabaki kwenye position ile ile akiendelea na shughuli zake za kubofya simu...!!!!Jamani mambo ya kitandani yanahitaji kuwajibika na kuandaana.Pia ukubwa wa jogoo sio hoja,hoja ni namna ya kutumia jogoo ulie nae..na zoezi la kutumia jogoo ni jambo la mwisho kabisa...mambo ya muhimu yanatangulia kabla jogoo hajawika.ASANTENI.

One Page Mkuu.

Respect.
 
Kweli kuna watu wana dharau,uko kwenye tendo unaongea na shoga zako? si umuache tu huyo mwanaume aishi maisha yake....anyway,ndo hivyo,dunia ina mengi Nick....tuombeane tu!!!

Jamani . . . hili nalo ni neno . . . in fact Breaking News!
 
Back
Top Bottom