Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,627
- 5,258
Endelea si hutulizi akiliNingejua mapema nisinge umizwa namna hii
Endelea si hutulizi akiliNingejua mapema nisinge umizwa namna hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mno yaan.Kumi kumi 70
Duuuh usawaa huu 100k inapotea buree lol.Hiyo Redmi note 10 Pro dukani inauzwa 700,000 na ukitafuta vizuri unaweza kupata ya bei chini ya hapo.
Hapo unapigwa kama laki moja
View attachment 2177179
Wee ongeza 80k chukua redmi note 10 acha ubakhiri lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nitulie na huu huu mshipa zero x pro maana maduka mengi yanauuza 800k mpaka tigo shop bado bei yake imesimama ni 800k ila jamaa kaniuzia kwa 700k sijui atakua halipii kodi huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nitulie tu niendelee kufurahia kupiga picha mwezini 60× zoom kiufupi hili dude limetulia sema tu linaponzwa na jina lake
Bro najua fika wewe sio killazza, lakini kwanini huwa unaona uvivu kutoa ushauri kaka?Fanya kile unachoona sawa...
Denied Truth! [emoji13]Bro najua fika wewe sio killazza, lakini kwanini huwa unaona uvivu kutoa ushauri kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mchoyo wa ushauri kama vile hayamhusu.Denied Truth! [emoji13]
Misbelief tu hiyo all his comments reflect not.Ni mchoyo wa ushauri kama vile hayamhusu.
Lakini anajua mambo mengi na akili anayo tu.
@
Jamaa anajua kuwa ushauri mzuri vigumu kuupata na ukiupata vigumu kuuzingatia. So hataki kujichosha. We huoni baada ya kutoa ushauri mhusika kasema anabaki na hiyo infinix yake? Hivyo kafanya kama jamaa alivyosema, kile anachoona ni sawa.Ni mchoyo wa ushauri kama vile hayamhusu.
Lakini anajua mambo mengi na akili anayo tu.
@
Mleta uzi ametia aibu sana.Jamaa anajua kuwa ushauri mzuri vigumu kuupata na ukiupata vigumu kuuzingatia. So hataki kujichosha. We huoni baada ya kutoa usjauri mhusika kasema anabaki na jiyo infinix yake
Haturudishi pesa kwa bidhaa iliouzwa ikiwa ina tatizo njoo tubadilisheMkuu mwambie ukupe hela yako then urudi hapa
Duka lipo wapi mkuu . Linaitwaje nikanunue simu ?Ngoja nitulie na huu huu mshipa zero x pro maana maduka mengi yanauuza 800k mpaka tigo shop bado bei yake imesimama ni 800k ila jamaa kaniuzia kwa 700k sijui atakua halipii kodi huyu
MLETA Mada Ni MzigoNatamani niweke neno hapa lakini nahisi ntakosea
Hapo SasaKwamba umetoka dukani kidogo ili uje uulize kwanza jf
Huyu
MLETA Mada Ni Mzigo
Natumae umepata muongozo[emoji1][emoji1]Bro najua fika wewe sio killazza, lakini kwanini huwa unaona uvivu kutoa ushauri kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]