Jana nimerudi Kariakoo dukani kubadilisha simu

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
759
Reaction score
1,873
Ni ile simu ya zero x pro niliouziwa 700k kutokana na maoni ya wadau wengi kusena kwamba nimepigwa eti ni bora ningechukua Redme note 10 pro.

Mwarabu kaniruhusu nibadilishe maana hilo duka ni kubwa lina simu za kila aina ila kasema hio Redme note 10 pro bei yake ni 780k eti nimuongeze 80k ili niichukue halafu kasema eti hii zero x pro kaniuzia kwa bei ya jumla ilitakiwa nimpe 750k niko njia panda.

Sasa nauliza nikatoe 80k ili nichukue hii Redme note 10 pro au nibaki na hii hii Zero x pro maana zote ni mid range phones hata specification zimefanana sana.
 
CHIEF MKWAWA, afike kutusaidia ashawahi kutaja hapa simu inaitwa one plus nord ten lakini haipatikani madukani sijui kwa nini
 
Siku zote kama umenunua bidhaa ukirudi kubadilisha dukani ile hela ya kuongeza huwa inakuwa kama adhabu ya usumbufu...hivyo kama wamekubali kukubadilishia tulia utathmini simu yenye special nzuri ndio uchukue hata kwa kuongeza kiasi kikubwa cha pesa...

Hizo simu watakazokupa kwa gharama ileile mara nyingi mteja ndio anapigwa na unaweza kupewa mbovu zaidi ya unayoirudisha...
 
Sahii KABISA [emoji106]
 
Mkuu chukuwa redmi note 10 pro utakuwa umepigwa kama 70-50 lakini simu ni nzuri
 
Kweny Maisha sometimes kubali kupoteza, kubali kushindwa,

Hakuna mjanja ongeza hela chukua iyo Redmi + iyo gharama ya usumbufu

Ila next time fanya research ya kutosha kabla hujaenda kununua kitu chochote,

Unakurupuka sna [emoji28], ndo maana unapigwa (sorry for harsh words)
 
Ni ile simu ya zero x pro niliouziwa 700k kutokana na maoni ya wadau wengi kusena kwamba nimepigwa eti ni bora ningechukua Redme note 10 pro.

Mwarabu kaniruhusu nibadilishe maana hilo duka ni kubwa lina simu za kila aina ila kasema hio Redme note 10 pro bei yake ni 780k eti nimuongeze 80k ili niichukue halafu kasema eti hii zero x pro kaniuzia kwa bei ya jumla ilitakiwa nimpe 750k niko njia panda.

Sasa nauliza nikatoe 80k ili nichukue hii Redme note 10 pro au nibaki na hii hii Zero x pro maana zote ni mid range phones hata specification zimefanana sana.
Kachukue Redmi Note 10 pro achana na hiyo takataka uliyonunua faster sana.
 
Kweny Maisha sometimes kubali kupoteza, kubali kushindwa,

Hakuna mjanja ongeza hela chukua iyo Redmi + iyo gharama ya usumbufu

Ila next time fanya research ya kutosha kabla hujaenda kununua kitu chochote,

Unakurupuka sna [emoji28], ndo maana unapigwa (sorry for harsh words)
Hapo kwwnye research ni muhimu sana.

Wapo wataalamu wazuri sana humu ambao ukiwafuata wanakushauri mambo mazuri tu.

Mimi baada ya kununua kitu kwa laki nne na nusu wakati kipo kizuri ningepata kwa laki tatu hapo nikajuta nikasema kabla ya kununua kitu ntafanya tafiti na kuulizaa saanaa wataalamu
 
Ni ile simu ya zero x pro niliouziwa 700k kutokana na maoni ya wadau wengi kusena kwamba nimepigwa eti ni bora ningechukua Redme note 10 pro.

Mwarabu kaniruhusu nibadilishe maana hilo duka ni kubwa lina simu za kila aina ila kasema hio Redme note 10 pro bei yake ni 780k eti nimuongeze 80k ili niichukue halafu kasema eti hii zero x pro kaniuzia kwa bei ya jumla ilitakiwa nimpe 750k niko njia panda.

Sasa nauliza nikatoe 80k ili nichukue hii Redme note 10 pro au nibaki na hii hii Zero x pro maana zote ni mid range phones hata specification zimefanana sana.
Muongezee tu ila elewa unapigwa lia mzee zaidi ya laki
 
Free shipping mjini Uchina apo unakuja pigwa kibouya hivo
Screenshot_2022-04-05-21-53-52-090_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Hiyo Redmi note 10 Pro dukani inauzwa 700,000 na ukitafuta vizuri unaweza kupata ya bei chini ya hapo.

Hapo unapigwa kama laki moja

20220405_222409.jpg
 
Hiyo Redmi note 10 Pro dukani inauzwa 700,000 na ukitafuta vizuri unaweza kupata ya bei chini ya hapo.

Hapo unapigwa kama laki moja

View attachment 2177179
Ngoja nitulie na huu huu mshipa zero x pro maana maduka mengi yanauuza 800k mpaka tigo shop bado bei yake imesimama ni 800k ila jamaa kaniuzia kwa 700k sijui atakua halipii kodi huyu
 
Back
Top Bottom