Bei za simu Kariakoo kwa jumla na lugha zinazotumika kuwachanganya wageni wa Kariakoo

Themann

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,828
15,920
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk.

Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories za simu ni hivi:

Unapoenda Kariakoo kwa lengo la kununua hivyo vitu tajwa hapo juu usiende kichwa kichwa yani unafika. Mfano unataka cover la simu fulani usiulize kwa lugha hii: eti cover la note 10 shingapi no! Ukishauliza hivyo wanajua huyu sio wa humu humu Kariakoo, ni mteja wa kawaida ananunua akatumie tu lugha unayotakiwa...

Kuongea ni hivi hilo cover la note 10 ni saa ngapi Kariakoo kuna lugha maalum ambazo zimewekwa kuwa ukiongea wanajua huyu ni mlanguzi analangua na yeye akauze na inakupa wewe ugumu wa kuelewa wanaongea kwa mantiki gani so nakupa hiyo ukifika mfano unataka simu uliza hivi samsung note 20 zoezi lake saa ngapi utapewa bei ya kilanguzi ili na wewe ukauze yaani bei ya winga, walanguzi kule kkoo tunawaita mawinga Kariakoo hamna simu za bei hivyo...

Ili uifahamu na kuijua Kariakoo na machimbo yake itakuchukua muda mrefu pia kama utahitaji simu kwa bei nafuu ya kiungwana kabisa PM me nitakupa bei halisi simu yoyote.
 
Umefanya vizuri kwa kutoa msaada huu, ila ungetaja na majibu huwaje ili kusaidia. Kama hizo bei hutamkwaje na muuzaji baada ya kuulizwa bei kwa lugha hiyo ya watu wa Kariakoo?

Kwa maana ya laki moja au mbili huitwaje kwa lugha hizo za watu wa Kariakoo. Hii itasaidia mtu kuweza kulipa kwa bei sahihi na maelezo haya yakawa ni msaada zaidi.

Ova
 
Hahahaaa wauzaji wa kkoo sio mafara kihivo watu tunajuana ww toka huko na hivo vimisemo vyako ndo unatandikwa vyema tu.Ma winga wanajulikana tena usirogwe ukajifanya mjanja mjanja kkoo watakudanganya ww utajikuta umetumia hela nyingi bora ukawa mpole tu.
 
Duh!!!!!

Back
Top Bottom