Jana nimerudi Kariakoo dukani kubadilisha simu

Jana nimerudi Kariakoo dukani kubadilisha simu

Aisee pole
Kariakoo hapafai kununua simu
 
Ngoja nitulie na huu huu mshipa zero x pro maana maduka mengi yanauuza 800k mpaka tigo shop bado bei yake imesimama ni 800k ila jamaa kaniuzia kwa 700k sijui atakua halipii kodi huyu
Sasa 700K kwa 800K mbona ni range ndogo sanaa... Na wew umerudisha simu kwa sababu gani???? Au ndo umefata maneno ya watu
 
Back
Top Bottom