Sahihi kabisa, mimi mwenyewe nimejifunza zaidi kutokana na tukio la jana.Poa , nakupa pole , nimejifunza namna ya kuishi na majirani kwa upendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Akhsante sana mkuu...hakika Mungu ana mipango yake.Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta.Binafsi huwa siogopi nyoka hata kidogo nimewahi kung'atwa na nyoka Mara kadhaa lakini huyo nilipoka uhai wake.
Shukuru hakuwa black mamba/koboko kwa muda huu ungekuwa kaburini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mbinu pekee iliyo nisaidia kujimudu katika hatua za awali ni kujitahidi kuepukana na mawazo mabaya na kuamini siwezi kufa kwa jambo hili, basi nilijikuta nipo sawa na amani kuliko hata niliokuwa nao karibu muda wote.Hakuna chochote hapo kinachosaidia kw mtu aliyeng'atwa na nyoka, kikubwa uking'atwa na nyoka kuwa mtulivu, uspanic maana utasababisha mapigo ya moyo kwenda haraka na hivyo sumu kuenea kwa haraka mwilini, alafu usitumie kiungo kilichong'atwa na nyoka, then straight hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhana ya kuwa wote wana sumu kali inayoangamiza muda mfupi, ndiyo inayowapa watu presha na shinikizo la damu na kujimaliza wenyewe kwa hofu pindi yanapowakuta.Nyoka wenye sumu ya kufikia kuua ni 10% ya nyoka wote, nyoka wengi sumu yao ina act locally
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hakudhuru mifugo pia?, kuna siku kwenye chumba cha kuku, asubuhi hiyo mother kaenda kufungulia kuku, anaona kuku wengine hawatoki akacheki ndani kuku kama 3 wamekufa duh ,akashtuka kucheki vizuri kuna bonge la nyoka, niliskia yowe mama anatoka nduki aisee.hatari sana.Nilimulika lakini yeye aliujua ujio wangu na kujua atege wapi, mimi sikuwa naelewa kilichopo na upande kilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote hayo ni MUNGU tu ndiye akushukuriwa, pole sanaAkhsante sana mkuu, nimefikiria sana iwapo angekuwa kwa juu ya banda na akanidhuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa kenge huyo au wale mijusi wakubwa wapo kama kenge haaa haaaHuyo alikuwa kicheche mkuu
Katika tukio hili hakudhuru maana hakufanikiwa kuingia ndani, ila nilishawahi kushuhudia mahali kuku wakifa wengi kila siku wanakufa sita saba! Baadae ikagundulika kuna nyoka anaingia kuwadhuru na kutoka.Vipi hakudhuru mifugo pia?, kuna siku kwenye chumba cha kuku, asubuhi hiyo mother kaenda kufungulia kuku, anaona kuku wengine hawatoki akacheki ndani kuku kama 3 wamekufa duh ,akashtuka kucheki vizuri kuna bonge la nyoka, niliskia yowe mama anatoka nduki aisee.hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unatumia dawa gani mkuu? Upatapo wasaa tusaidie maana hawa wadudu ni janga.Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta.Binafsi huwa siogopi nyoka hata kidogo nimewahi kung'atwa na nyoka Mara kadhaa lakini huyo nilipoka uhai wake.
Shukuru hakuwa black mamba/koboko kwa muda huu ungekuwa kaburini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii tabia ya watu kuita nyumba Kibanda mmeitoa wapi??? Mnafanya hvo kuonesha watu wa kujishusha ama?. Pumbavu zenu.
Hahaha ni ugeni wa haya mambo ya ufugaji, lakini pia kwa upande wa binadamu, kuna mbwa wakali sana aina ya Bull dog, GS na Basanji hivyo ni miongoni mwa nyumba zinazo ogopewa sana rabda mtu aje na bunduki.Lakini mkuu,ni jambo ambalo linafahamika sana unapokuwa na mifugo,ukasikia inahangaika usiku kama huo usitoke bila tahadhari kubwa.
Mara nyingi huwa ama ni wezi au wanyama wakali au nyoka kama hivyo.Mara chache ni mauzauza(ulimwengu wa roho).
Sometimes unategeshewa.Kunapotokea kitu kisicho kawaida usiku wakati mwingine unategewa utoke tu watu wafanye yao.
Next time be careful.Ni mifugo tu ile usitoke mbio kama vile umesikia mwanao anapigwa kabari nje.Toka lakini kwa Hisabati.[emoji4]