Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,461
- 18,541
Ushauri mzuri huuUmenigusa sana kwa kumthamini huyo mzee kama ulivyosema wengi huwa tunawadharau wenyeji wetu hasa majirani kwa sababu ni masikin, hii haifai hata kidogo, tafuta muda piga nao story utakuta kuna mengi utajifunza toka kwao hasa katika eneo unaloishi hata mbinu za dawa za miti shamba
Usimdharau sababu ni masikin wapende na waonyeshe kuwaheshimu hakika hutopoteza bali utajenga na kujifunza