Jana nimeng'atwa na nyoka mguuni!

Hii ya mdalasin maji na karafuu inadum kwa muda gan toka toka unyunyuze
Dah....uzuri wake hata wewe utakuwa unaisikia ....haina harufu mbaya Kama dawa za viwandani [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Hiyo inauzwa maduka gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine ukiona kuku anapiga kelele za taadhali au hatali usitoke inje peku,kama una buti vaa,tumia mwanga yaani tochi,usiende kichwakichwa chukua taadhali,na usikose fimbo u panga,au wewe wa Daresaalam nini
 
Hiyo inauzwa maduka gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...zipo maduka ya mtandaoni
"Amazon.com : [2018 Upgraded] Ultrasonic Mole Repellent - 2 Piece Solar Powered Repellent Repels Mole/Rodent/Vole/Shrew/Gopher and Other Rodents by Cypropid, Safe to Your Family, Pets and Plants : Garden & Outdoor" Amazon product ASIN B07BBPJJ97
Lakini muda si mrefu zitakuwepo maduka zilizotengenezwa na watanzania zenye bei ya kitanzania kwa mazingira ya kitanzania...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Sawa sawa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine ukiona kuku anapiga kelele za taadhali au hatali usitoke inje peku,kama una buti vaa,tumia mwanga yaani tochi,usiende kichwakichwa chukua taadhali,na usikose fimbo u panga,au wewe wa Daresaalam nini
Akhsante kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa jambo zuri.
 
Hao viumbe naogopa sana aisee.
Watu tunatofautiana mkuu,

Cha ajabu wale wakulima wangu wakiona nyoka hapo ni kumfukuza mpaka wakamilishe zoezi la kumrestisha in peace.

Mwezi wa 5 mwanzoni walimuua nyoka moma ni mnene wastani wa kiwiko cha mkono eti wakawa wameniwekea nije kumuona, kwanza nilikaribishwa na harufu ya mzoga,kuuliza wananambia huyo ni moma dah nikastaajabu sana.
 
Siku nyingine ikitokea fanya haya
1 ufunge mguu sumu isipande (hii nadhan ulifanya)
2 chanja mguu au sehem iliyoumwa ili ile damu iliyozuiwa na kamba iwe inatoka nje, inapotoka inatoka na sumu
3 kunywa mkojo

Halafu wahi hospital
Kwahiyo atakuwa anaumwa na nyoka tu maisha yake yote
 
Jana na Mimi nilimuona nyoka ila alinikimbia,tafuta oil chafu mimina kuzunguka eneo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…