Amafita
Senior Member
- Jul 22, 2019
- 165
- 311
Asante,tulishapowa, ila aliyekunywa sijui kama anakumbuka na kama anakumbuka sijui anajisikiajepoleni sana
Asante,tulishapowa, ila aliyekunywa sijui kama anakumbuka na kama anakumbuka sijui anajisikiajepoleni sana
Antivenom ni ghali kiasi kwa huko bongo bei yake yafika 200k pia kuwa na Antivenom hakukupi uhalali wa kupona baada ya Shambulio sababu kuna yapaswa ujue umeshambuliwa na specie gani ya nyoka pia unapochoma yapaswa uwe na Adrenaline Pembeni kuzuia Anaphylatic reaction nikimaanisha hutoweza kujichoma pia kama watu wajichomavyo Insulin! Mwisho nikutaarifu tu sio kila nyoka anayo Anti-venom ila kwa sababu ya ukanda uliopo yaweza kuwa rahisi kujua walau ni jamii gani hupatikana ukanda fulani na ukanda fulani kama ambavyo ipo kwa wanyama wa kawaida tuHizi Antvenom zinauzwa wapi?Kwa uzoefu wangu nimeshaona mara kadhaa watu wanazikosa kwenye hospitali za serikali tena za ngazi ya wilaya,
Samahani nielekeze zinapatikana wapi ili nikanunue hata kama sijui kuchoma ikitokea dharula naweza chomwa na nesi yeyote mtaani inapobidi.
Mfano nimeshuhudia mara kadhaa watu wengi wanaong'atwa na mbwa vichaa kwa ukanda wa pwani na dar hospitali yenye uhakika wa hizo sindano ni dar mnazi mmoja ie hata muhimbili huwa wakati fulani wanazikosa.
Lakini hivi antvenom uking'atwa na black mamba inafanana na kama umeng'atwa na cobra?
hebu mkumbusheAsante,tulishapowa, ila aliyekunywa sijui kama anakumbuka na kama anakumbuka sijui anajisikiaje
Namjua,atanipigahebu mkumbushe
Thnx mukenya,ujuee hapa bongo jua vile ni kali kuna yapaswa kujua pesa mfukoni nakauka kabisa!!!!!Antivenom ni ghali kiasi kwa huko bongo bei yake yafika 200k pia kuwa na Antivenom hakukupi uhalali wa kupona baada ya Shambulio sababu kuna yapaswa ujue umeshambuliwa na specie gani ya nyoka pia unapochoma yapaswa uwe na Adrenaline Pembeni kuzuia Anaphylatic reaction nikimaanisha hutoweza kujichoma pia kama watu wajichomavyo insulin! Mwisho nikutaarifu tu sio kila nyoko anayo Anti-venom ila kwa sababu ya ukanda uliopo yaweza kuwa rahisi kujua walau ni jamii gani hupatikana ukanda fulani na ukanda fulani hawapo kama wanyama wa kawaida tu
Inaonekana ilikuwa miaka mingi nyuma, sasa hivi dawa za kuzuia sumu ya Nyoka kusambaa mwilini zipo hospital.Mama alipo sema nipelekwe hospital
Nikasikia Watu wanasema hospital Hakuna dawaa ya nyoka....
Hapo
Ndipo hofu na woga ulipo zidi sikutamani kuiaga dunia huku najiona live......
Siku zote mulika unapokanyagaUlifanya uboya sana yaani.
Usimulike unapokanyaga?
Watanzania
Tujifunze First Aid
Tuwe na First Aid kits majumbani kwetu. Tuwe na antivenom majumbani kwetu na tuwafundishe wote tunaoishi nao jinsi ya kutumia hizo aid kits.
Tukifanya hivi tutapunguza vifo vingi visivyo na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app

Naam, huku awali walikuwa wakiniogopa ila baadae waliponifuata na kutaka michango ya Madrasa nikawa natoa, michango ya ujenzi wa kanisa ninatoa, michango ya kununua mpira timu ya mtaani ninatoa....na hapo wakasema kumbe huna tatizo tulikuwa tunakufikiria tofauti sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa Nge hapo. Nge akikugonga maumivu yake hata usipoweka dawa yadumu 24 "hours" halafu yanaaondoka yenyewe ghafla. Ila huyo mwingine naogopa hata kumtaja maana wanasema ukimtaja taja sana huchelewi kumukuta mguuni kwako.
Huyo nyoka hakuwa na sumu.
Hayo madawa uliyopewa ni kuongeza sumu tu mwilini.Kilichokufanya upate nafuu na pressure iwe sawa hadi kujiona mzima ni imani tu kuwa umepewa dawa.
Kwa sasa sidhani kama kuna hospitali yoyote ya serikali ina dawa za sumu ya nyoka.
Pili ni madaktari wachache na pengine hawazidi 20 ambao wana utaalamu na jinsi ya kuchoma sindano za dawa za kuondoa sumu ya nyoka.Zaidi kuna wanasiasa tu watazungumza nadharia nyingi tu za kutosha ila kiuhalisia hawawezi kutibu.
Tatu kuna watu wana miaka hadi kumi kazini hawajawahi kuiona dawa hiyo ya sumu ya nyoka.
Mwisho,kichupa kimoja cha dawa kinauzwa hadi laki sita,na unaweza chomwa zaidi ya kimoja.
Najua kama ungetoa pesa hiyo lazima hapa ingekuwa ndiyo mada kwani bima ya afya haigharimii issue kama hizo za kung'atwa na nyoka.
Mwisho pole sana kwa tukio hilo,mkumbuke Mungu aliyekupa Neema ya kuwa mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamaki ilikuwa kubwa sana na huku nikifikiria hatma yangu hasa nikizingatia ni usiku wa maanane.Vipi maumivu yake?na kwanin ulimuacha aende ulitakiwa umuue
Yapo mambo automatically yanahitaji pesa na wenzako wote wanatoa, sasa wewe usipotoa na ni mgeni hii inamaanisha umekataa taratibu ulizozikuta na ni sawa na kukataa ushirikiano hivyo huleta hali ya kuonekana mbaya. Unanielewa?Usingetoa pesa ungekuwa na tatizo? Yaan mpaka pesa ndio uonekane mzuri
Mkuu hongera umezunguka Sana kutunga story tumeshajua kumbe una Gari!!!!!



