Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,385
Tamu eeeh
Sio laini tu mkuu sema tamu. HahaaaNilijua mbuzi BT nilishangaa kwann laini?
Muislamu anaruhusiwa pombe. Mchepuko hivi anaweza kufanya hadharani ila kitimoto anaruhusiwa tu pale ambapo haonwi na masheikh wenzake. Njoo Kigogo sambusa au Kimara uone wanavyo ichangamkiaANAKUAMBIA KITIMOTO HARAMU HALAFU ALIKUWA BAR??JE POMBE DINI INARUHUSU???!!
Aiseee!!Kumbe wenzetu mashehe wanakula kitimoto kwa kificho??Tena wanashushia na bia??Muislamu anaruhusiwa pombe. Mchepuko hivi anaweza kufanya hadharani ila kitimoto anaruhusiwa tu pale ambapo haonwi na masheikh wenzake. Njoo Kigogo sambusa au Kimara uone wanavyo ichangamkia
We no mlaporkoSijawahi kuiona mkuu BT nimejifunza kitu
Umeionaje lkn?
Ova
Hahahahah Kwani macho ndo yanakula ?Ilkuwa bar mwanga hafifu
Naamini hata ungeletewa mavi ungekula tyuu.njaa mbaya sana aisee.Hicho kichefuchefu ulichonacho ni dalili ya uzinduzi wa kampeni za kinafiki mwilin mwako.kwa sababu dawa ya moto n moto.kula kama kilo moja tena kitaacha na wala hutatapika teeeenaaa.Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
kuchukuliana watoto tu huku!!..zile nyama za mafuta hazikuepo kbsa kwake..ANAKUAMBIA KITIMOTO HARAMU HALAFU ALIKUWA BAR??JE POMBE DINI INARUHUSU???!!
Pole.Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Sasa atatofautshaje wakat hajawah kuila?Kitimoto ya Bar hata ingepikwa saa 9 usiku inajitambulisha huwezi tofautisha mbuzi na kitimoto kweliii????..
Sasa uharamu wake ni nini mkuu?Ndio mkuu
Umesema uliona laini kutafuna halaf ngumu kuweza tena?Ngumu kumeza