Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Mkuu mi siko km unavyonifikiria sijisikii kula kabisa sina mud
Hahaha,haya bwana...wel,hakuna nyama tam dunian kama hyo,wanaokula kwa fujo na kuisifia usione wajinga bwa mdogo,hyo nyma ni balaa
 
aiseee umenikumbusha ngoja nikaagize nusu na ndizi zangu mbili kumalizia weekend....
kimwiiingiapo mtu sio najisi, bali kimtokacho...............fuata ubongo wako
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Hadi umehamishiwa thread Bila Shaka umefaidi sana
 
Pork inajulikana mr kwa kuiona na kuila. Sema ulinogewa kwa utamu. Unahisi kichefu chefu? Acha kudanganya watu mr. Nyama yyte ambayo haujawahi kuitumia unapoaanza kula utahisi utofauti. Sema utamu ulizidi hizo zingine ni mbwembwe tu.
Sijawahi kuiona mkuu BT nimejifunza kitu
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Mbona papuchi zisizo za imani yako, na nje ya ndoa yako unakula,?! Au zenyewe sio haramu?!
 
Back
Top Bottom