Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Naombeni msaada wana jamii forum kwann ndugu zetu Waislamu wanaichukia sn nguruwe wkt km ni haramu wapo wanyama wengi tu waliokatazwa?(Agano la kale).Km vile Sungura, kambale, n.k
 
Kitimoto ya Bar hata ingepikwa saa 9 usiku inajitambulisha huwezi tofautisha mbuzi na kitimoto kweliii????..
Kama hujawahi kuila utajuaje tofauti? Kama unajua ladha yake ndo utajua hii si nyama ya mbuzi, ngombe au kondoo. Kuanzia sasa ataweza kutofautisha. Cha msingi aliyekupatia hiyo kitu ndiye mkosaji kama wewe hukukusudia si tatizo
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Achana na hofu za kale, ni aibu mtu wa kalne hii kuogopa nyama labda kama unekatazwa na daktari
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Haramu kivipi?kula tena uizowee.ni tamu sana.wanafiki ndio wanaiita haramu.
 
Kama ilikuondole njaa unaiitaje haramu? Kula vitu vitamu babuu, acha kujinyima.
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Ulivyokula kikakukereketa nini?

Kwani uliumwa hata na tumbo la kuharisha?
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
;Mbona hujatapita muda huo huo unakitafuna - nyambaf
 
kama ulianza kutafuna hadi ukameza na bado hukushitukia basi Mungu akusamehe bure ila kama ulihisi kabisa ni hotchair na bado ukameza umelaaniwa.
Amelaaniwa na nani?
 
Acha uwoga Ww. Nguruwe aliyelaaniwa kwenye Quran na torati alishakufa tayari. Ww huoni hawa wanafugwa bandani na wanalishwa pumba kama kuku. Ila serikali jamani iruhusu nyama ya mamba iuzwe mabuchani. Daaah, mamba mtamu sana.
 
Kaka wakiruhusu yule kiumbe tutaanza ambiwa yuko haTarini kutoweka, ni mtamu mno aisee... Na wabongo tunavyojua kwenda na upepo, tutamtafuna mpaka kucha
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.

Wahi katubu!!! usiwe mkaidi kama wengine
 
Sio unafki,,am feeling very bad..
Kwani ulitapika?kama haukutapika siyo haramu na ujue kujitapisha kwa makusudi ni dhambi.Alafu na nyie mjiongeze Mungu aliumba nguruwe ili aliwe sasa we Mungu anaweza kuumba kitu ambacho akina faida hata wewe pengine ni mzigo kwa mkeo ,mumeo au wazazi wako lakini Mungu alikuumba kwa makusudi yake.
 
Kaka wakiruhusu yule kiumbe tutaanza ambiwa yuko haTarini kutoweka, ni mtamu mno aisee... Na wabongo tunavyojua kwenda na upepo, tutamtafuna mpaka kucha
Daa tena upate nyama ya Mamba ya kuchoma na ndizi mbili ni balaa.
 
Ndo tatizo ya kitimoto ukila ukashiba kupitiliza lazima ujisikie kutapika ila ukirudia kula tena kula kidog hutasikia kichefuachefua
 
Back
Top Bottom