Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Dini zingine ni za ajabu kweli unadai unajisikia vibaya kula haramu halafu sehemu yenyewe uliyokulia ni bar kwahiyo kwenda bar kumehalalishwa?
Hapa hatuzungumzii dini then nilihalikwa kwenye Ukumbi ambapo kuna bar hapo@ so nilipewa kadi mkuu
 
Kwa waislam wengi wasiojua dini dhambi kuu na alama Yao ya dini ni kutokula nyama ya nguruwe.

Lakini mtu Huyo utakuta anakunywa pombe, anazini, anatembea mpaka na mashoga, anaua, anaita wengine makafiri nk.

Hivi kweli kwenu ni Kula kitimoto tu?

Nakumbuka mafundisho ya dini yanaruhusu Kula kitimoto Katika mazingira ya aina mbili. Either Uko sehemu ambapo Hakuna chakula kabisa na usipopata chakula Unaweza kufa,
Au ule kitimoto bila kujua km ni kitimoto!
 
kama ulianza kutafuna hadi ukameza na bado hukushitukia basi Mungu akusamehe bure ila kama ulihisi kabisa ni hotchair na bado ukameza umelaaniwa.
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Nipo Mbeya nikuongeze huku bei poa kabisa......
Tutaweka na Castle
 
Mkuu kitimoto ila ladha yake ya pekee lazima ungestuka au hata kuuliza ni aina gani ya nyama umepewa, naamini uliinjoi
 
Nafahamu wewe hutakagi ujinga, kawaonyeshe jeuri nenda ukale live !!
 
Je ulipata jibu la mshangao wako? Maana hapo kwenye ULAINI ndipo penye ulimbo wa hiyo nyama. Nina hakika asilimia 65 utaenda kwa Mama Kamche kutafuta huo ulaini kwa mara nyingine. Pole sana mkuu.
du mpaka kwa mama kamche unaenda, nipitie hapa tanzanite tukasuuze roho
 
Back
Top Bottom